BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,022
Belinda baby......hii safari yako ni day trip au inahusu night kadhaa....?.......
Inategemea na preference zako
ili kupata ushauri mzuri, ni vema ukaweka wazi safari yako itakuwa ni ya siku ngapi, na itajumuisha watu wangapi? na utaenda Ngorongoro tu? au utapenda kupitia na Manyara na Tarangire.
Kampuni zipo nyingi tu na hata ukiangalia kwa website zao unaweza pata fully package naZephaniah Kambele
hii kampuni binafsi nshaitumia mara mbili Tanzania Safari | African Safaris | Real Adventure Safaris | Real Adventure Co.
wasiliana na huyu bwana zephaniah.kambele@gmail.com ambaye ni moja wa wa miliki wake atakupa ushauri mzuri
Kila la kheri
Wasiliana na Bestday Safaris Ltd, wana service nzuri, pia bei zao zipo vizuri.
Ukiwasiliana nao watakupa details zote zinazohitajika.
Emails: bsafaris@gmail.com or info@bestdaysafaris.com
Website: Bestday Safaris
My dear Petra, hii safari itakuwa ni ya siku 3..Sababu sina uzoefu kwenda ha hizi gari za kitalii, nilitaka kujua kama uki-book mapema ni cheaper kuliko dakika za mwisho..Yani maandalizi yawe yamekamilika! Thanks

Habari!

Naomba kuulizia nitapata vipi mawasiliano na watu wa magari ya utalii(kwenda mbugani). Safari nataka kutokea Arusha mjini kwenda Ngorongoro Crater.

Kama kuna makampuni wana websites naombeni mnisaidie. Safari hii inatarajiwa kuwa Mid-December, 2011.

Na je mwenye idea ya bei kwa trip ni bei gani?pia experience nzuri na kampuni aliyotumia anisaidie niwafuatilie.

Asante!!

BelindaJacob..!!!

Nicheck kwa pm nina 109
Nimechelewa lakini pata hiyo contact pia ikusaide:-Habari!
Naomba kuulizia nitapata vipi mawasiliano na watu wa magari ya utalii(kwenda mbugani). Safari nataka kutokea Arusha mjini kwenda Ngorongoro Crater.
Kama kuna makampuni wana websites naombeni mnisaidie. Safari hii inatarajiwa kuwa Mid-December, 2011.
Na je mwenye idea ya bei kwa trip ni bei gani?pia experience nzuri na kampuni aliyotumia anisaidie niwafuatilie.
Asante!!
BelindaJacob..!!!
Nduka, thanks mkuu!..Nitafuatilia hiyo kampuni pia!
Mamii, asante sana ka info zaidi..Nitawahi kubook mana bei siku za x-mas zitakuwa hazikamatiki!..halafu hilo suala la accomodation, kwanini nisi-camp Ngorongoro? una experience mbaya nini?camp nzuri itakuwa wapi? julisha me pls..thanks again!

Habari!
Mwanangu ni PM

Naomba kuulizia nitapata vipi mawasiliano na watu wa magari ya utalii(kwenda mbugani). Safari nataka kutokea Arusha mjini kwenda Ngorongoro Crater.

Kama kuna makampuni wana websites naombeni mnisaidie. Safari hii inatarajiwa kuwa Mid-December, 2011.

Na je mwenye idea ya bei kwa trip ni bei gani?pia experience nzuri na kampuni aliyotumia anisaidie niwafuatilie.

Asante!!

BelindaJacob..!!!
Nimechelewa lakini pata hiyo contact pia ikusaide:-
HIDDEN VALLEY SAFARIES LTD.
Manase Mbise. CEO &Managing Director. AICC Complex. Kilimanjaro Wing, Fourth Floor, Room No: 423.
P. O. Box,11355. ARUSHA. TANZANIA.
Tel: +255-732 978 198/ +255 713 511 357/ +255 784 712 630.
Email: hiddenvalley@habari.co.tz / info@hiddenvalleysafaris.com. Ubarikiwe!!!!!!
hakuna ubaya kucamp....wasiwasi wangu ni hali ya hewa......lakini inawezekana....more info.....check PM
Mwanangu ni PM
Kama wewe ni mzawa kupata cheap price ni vema ukapata magari ya watu binafsi japo yana link na makampuni ya utalii, huwa inapunguza gharama kwa kiasi kikubwa