Nampa Pongezi Mkurugenzi wa TBS kwa kuona umuhimu wa kubana matumizi.Taasisi nyingi za Serikali bado hawachukui hatua za kudhibiti matumizi haya.
kuna magari mazuri na bei ya kuyatunza iko chini kiasi.mfano RAV4, TATA,na hata Suzuki. najua kuna Wakurugenzi wa taasisi ktk JF. Nawaomba mlipe mtazamo jambo hili.
Vp ungekuwa wewe ?
Nielimishe kidogo, South Africa wao wanatumia wakala? do u mean Transport Agency ya kusimamia magari ya serikali?.Dr. Magufuli alikuwa na mpango mzuri sana juu ya mataumizi ya magari ya serkali kutumi wakala kama South Africa lakini wamemkatalia
Hii nchi imeoza!!!
Mkuuu njoo uanzishe basi ,mimi ntakuwa nyuma yako.ila naona location yako iko AROUND THE WORLD. sasa sijui lini utakuwa TZ ili ulianzisheNa bado mtalalamika sana humu jf na kwenye media,maana sisi wa Tz hovyo kabisa, ni kulalamika tu,No actions.huwa nashikwa na uchungu sana,hivi hii nchi haina hata mjeda mmoja mwenye cheo huko juu na mwenye roho ya kizalendo akaongoza kundi watu wakaingia msituni?
Miaka ya hivi karibuni Magari ya serikali yemezidi kuwa ya kifahari sana,na Gharama za kuyatunza ni JUU mno. Mengi ya hayo magari yapo JIJINI Dar-es-salaam.yanatumia mafuta mengi katika foleni za Dar,
Ninapata hasira ninapokuta Dereva amewasha Full AC,gari likiwa limepaki haliendi popote.nikizingatia kuwa Kodi yangu na Msaada unaotolewa na wahisani kwa lengo la kumsaidia Mtanzania. Angalia jinsi Pesa zetu zinavyofujwa na wachache.
Watanzania Tuamke ,tulazimishe viongozi Wasinunue Landcruisers V8,Na Magari mengine ya kifahari yenye Gharama kuyaendesha.
Mfano ni Vuguvugu la OCCUPY
Maandamano duniani kote ya kupinga kile waandamanaji wanakiona kama uroho na usimamizi mbaya wa uchumi duniani yameingia siku ya pili.
BBC Swahili - Habari - Vuguvugu la "occupy" linasambaa
Huyo mkurugenzi wa tbs mnamsifia nini..? Wakati wanafunzi wazalendo wanaomba nafasi za kufanya mafunzo kwa vitendo wazungushwa na watu wa chini wake huku yeye akiwa kimyaaa ofisin na barua za maombi zina2mwa kwake wakat huo huo wanafunzi wa nch za nje wanakuja wamechelewa na wanapata nafasi..?sasa mnamsifia nn wakat si mzalendo i think huyu jamaa n mganda.
imeoza wewe ukiwa wapi? Kwa nini usiiweke kwenye fridge ili isioze? Au kuikausha juani au kwenye moto?
Soma kichwa cha habari ndipo uchangie.