Tuwekee source yako hapa!
Kuambiwa tu haitoshi.., je aliyekuambia alishirikiana nae kuyanunua?!
Kafanye homework yako vzr then urudi na hbr inayoeleweka!
Kila la kheri!
Huyo jamaa Said Lugumi nasikia alikuwa ni shoe shiner kwenye mitaa ya mwanza,Bwanshem Mpolisi mukubwa ndio aliyembeba mwanzo.
Acha upuuzi wako wewe, afu utakuwa wa msoga wew
Wewe huna kazi ya kufanya? Sasa kilicho kupeleka hapo ni hayo magari? Wabongo bana.yani ni umbea kwa kwenda mbele.
...Ushahidi? Na hili ndilo linatumaliza WATANZANIA.. MAFUNUNU!!! Hakuna mtu anajiuliza TUNAJIKWAMUAJE!? Bali utajiri wa fulani na fulani ambao tunaona WANAUZA.. wale wasiouza au TUNAOWAPENDA UTAJIRI WAO WALA HATUNA MUDA WA KUUHOJI! sijui tunaelekea wapi...? tena afadhali huyo ameleta ajira je wale wanaozificha ughaibuni???
Bado kuna watu wa garage na garage znyewe watanufaika, hatujasema wauza vipuri na mama lishe wa njiani.... angalau kuna chochote kinaweza kupatikana!!
kwani nani anaushahidi wa 100 percent no evidence no right to talk ndo maana tanzania tumeshindwa kumaliza mafisadi sababu tunahisi tu bila ushahidi kamili sheria ikifuatwa tunabwagwa
Ninyi wachumia tumbo mnakera sana humu. Hivi huyu jamaa amewahonga nini hadi mnatoka povu namna hii kumtetea?Majungu c mtaji na Lawama c mzigo,issue nzito kama hii haiwezi kupata jibu la uhakika kwa mjadala wa kijiweni
Hebu mueleweshe ndugu. Hawa wachumia tumbo wamekuwa kero sana humu. Sijui wanalipwa nini na huyo bwana kwa kujitahidi kumsafisha humu?Acha upuuzi wako wewe, afu utakuwa wa msoga wew
Wakuu RELI itafufuka kweli?
Kijana katumia vizuri nafasi ya mshua,Golden chance never come twice!!
Nasikia ana hisa lake oil ,anajenga kiwanda cha cement kigamboni duh
uuuuuuiiiiiiiiii Tanzania
Nenda jengo la ATCL posta kuna kampuni yake kubwa sana ya lugumi enterpri ltd manager wake hajui kusoma wa kuandika atakupa jibu...
Inaliza sana na kuumia kweli
wakati watanzania wanaangai wengine........
V
SENGEREMA
Tatizo ni kumtuhumu mwenzenu bila uthibitisho hii hutokana na hisia za wivu, uvivu wa kuchanganua mambo, chuki binafsi na pengine ufinyu wa maharifa/ubunifu wa maisha yenu/yetu ya sasa na baadae. Kiukweli fikra mgando kama hizi ujenga lawama na malalamiko ambayo hayana mashiko kwa taifa letu sanax2 ni kufifisha ndoto za vijana wetu na kuwagawa kifikra.ntakuja kukuibia siku moja halafu kutokana na mtaji huo nikuajiri wewe na familia yako.