Clack-Sniper
Member
- May 16, 2025
- 39
- 75
Hello wana jamii. Naomba kuuliza kama kuna mwenye uzoefu na uendeshaji wa Toyota AQUA hybrid. Hapa Tanzania experience ikoje?
Je ulaji wa mafuta ni kama wanavyoonyesha kwenye review za mtandaoni 24 - 35 Km/l?
Ufanyaje service je? Mnatumia oil gani. Maana recommended ni SAE 0w20. Ila kwa Hapa Dar ni Brand moja tu ndio ina 0w20. Unatumia oil gani?