Magari ya Hybrid Kama toyota Aqua

Magari ya Hybrid Kama toyota Aqua

Mkuu. Unaweza lakini naona kama risk. Ila hapo mimi nitaipigia kura Honda Fit Hybrid GP1 (2013 kurudi nyuma). Ngoja tuone:

Nimecheki BF Nimeipata hii (sio cheapest, ila unaweza pata cheaper zaidi yake), hii ni 2011 Honda Fit Hybrid GP1. View attachment 3520916

Nikajaribu kucheki na TRA kuona gharama za kodi kwa gari iyo iyo nimepata kama Mil 6.8
View attachment 3520917

Ila nimejaribu kuangalia miaka ya nyuma 2010 gari ilo ilo TRA nimepata Mil 6.4 na 2009 gari iyo iyo nimepata Mil 6.2.

Kwahiyo sweet spot hapo ni kutafuta Honda Fit Hybrid GP1 ya mwaka 2009 au 2010 (ambapo utatoa ushuru tuseme Mil 7 maximum) na JP ujitahidi upate nakunegotiate upate kwa Mil 6 kushuka chini, ili jumla ije Mil 13.

Sasa kuhusu Honda Fit Hybrid GP1, hii ni mild hybrid, inamaanisha Engine inafanya kazi muda wote gari likiwa ON ila battery ya hybrid inasaidia kuongeza nguvu ili kupunguza matumizi. Haina fuel consumption nzuri sana ila inatosha. Sometimes kununua mild hybrid naona bora ununue Honda Fit GK isio hybrid. Zinafanana ivyo ivyo na unaweza kupata cheaper ata jumla kwa Mil 12 au less.
Mkuu Mad Max, shusha link hiyo ya TRA kwanza.
 
Naona siku hizi magari ya Toyota aqua hybrid na PRIUS zinaanza kuwa nyingi kama IST hivi. Kila nikipita naziona tu. Nadhani navyo vitaanza kupanda bei soon
 
Back
Top Bottom