Magari ya gesi CNG

Kuna gari moja ya dangote ilikua inatumia huo mfumo bahat mbaya ikapata ajali, ile ajali ilipelekea mwili wa ndugu yangu uteketee kabisa na kubaki jivu.
 
Hizi tAARIFA CYO ZA KWELI KWASBB DANGOTE AMERUHUSIWA KUTUMIA GESI WALA CYO MUDA, LABDA NI MADEREVA TU AMBAO SASA HIVI HAWAUPENDI HUU MFUMO KWASBB UMEWABANA KUIBA MAFUTA KWAHIYO WANAUCHUKIA HATARI SANA.

PILI , DANGOTE ANASHITAKIWA KAMA INGEKUWA HIVO, KWASBB KWANZA GARI ZAKE ZIMEKAGULIWA NA WAO WALIOFUNGA NA SHERIA HAIWARUHUSU WAKAT WATU WA TBS WAPO.
 
Kwahyo point yako unamaanisha hiyo ajali haijatokea au unatetea nini?. Kwa taarifa yako hiyo ajali iliua dereva, konda na huyo ndugu yangu.
 
Hiyo ajali haijatokea na haipo reported kwetu. Na me ni mkaguzi wa magari ya gesi
 
Kuna gari moja ya dangote ilikua inatumia huo mfumo bahat mbaya ikapata ajali, ile ajali ilipelekea mwili wa ndugu yangu uteketee kabisa na kubaki jivu.
Nadhani hata magari yasiyotumia gesi kila siku yanaua na kuteketea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…