Magari ya atcl yakamatwa na tra

Magari ya atcl yakamatwa na tra

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,918
Reaction score
38,244
Wakati wabunge na watanzania wwengi wakiomba Mungu shirika la atcl lirudi mzigoni TRA imeamua kuka,mata mashangingi landcruiser kama 5 ya kampui ya atcl..hii ni kutokana na madeni yanayoidai kampuni hiyo

Hiivi majuzi TCAA iliomba waziri omar nundu awasaidie walipwe na serikali billion 64 walizowakopesha atcl..na kuhimiza mishahara ya TCAA aiko standard wanaitaj kupandisha mishara inachogomba n huruma zao kwenye baadhi ya kampuni kwa kuwakopesha akiongea kwa huzuni wamesema wanaomba walipwe kwanza hizi z atlc

Kwa jumla imefika wakati Rais kikwete anastahili lawama zote za shirika hili..kwa ujumla unaweza kwenda maagazetini kulalamika kwa nini usafiri gali na kulalalama kwa babu wakati srce n serikali kuetengeneza barabara na si haba kukuta pikipiki za wachina zikibeba watanzania kwenda kwa babu kama barabara ikiwa nzima

nasema aliefikisha kampuni hii ni rais kikwete na nadhan anaitaji kubeba kikombe hiki cha atcl
 
Back
Top Bottom