Magari haya yanauzwa

Magari haya yanauzwa

mnana

Member
Joined
Aug 26, 2013
Posts
24
Reaction score
1
MIMI NI MAJID MNANA. NINAFANYA BIASHARA YA KUNUNUA MAGARI TOKA JAPANI NA KUYAUZA HAPA NCHINI. KWASASA NINAMAGARI MANNE. NOAH ZA KISASA 2 KILA MOJA SH MILIONI 14, NISSAN SERENA SH MILIONI 12, NA
TOYOTA SIENTA MILIONI 12

. IMG_1365.JPG NISSAN SERENA MILIONI 12

1000740_276495299159326_1622441535_n.jpg

1010828_276491955826327_1805038321_n.jpg

541742_290658287743027_546764433_n.jpg

545888_290658104409712_234014457_n.jpg

577856_290655094410013_1881027586_n.jpg

03[1].jpg 06[1].jpg 14[1].jpg 19[1].jpg BE MILIONI 14

HII NI NYINGINE YA RANGI YA SILVER
IMG_1443.JPG IMG_1446.JPG IMG_1448.JPG IMG_1444.JPG IMG_1445.JPG

TOYOTA SIENTA MILIONI 12

1009770_276952192446970_1072890411_n.jpg

971868_276962792445910_1343175984_n.jpg

998846_276971375778385_1224686059_n.jpg

Naomba tuwasiliane
0714894088
0784604971
0762641094 Email mnanacom@yahoo.com
 
mkuu mbona magari yako mengi unayopost ni Noah na Serena?
Hizi nyingine hauuzi?
 
Bei zako kubwa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Matangazo should be lime this, if you don't see the numbers , at least the pics
 
hauna pesa ya kununua haya magari, hata bei zake masokoni huzijui. Kaulize show room, halafu linganisha na bei azngu.
 
hauna pesa ya kununua haya magari, hata bei zake masokoni huzijui. Kaulize show room, halafu linganisha na bei azngu.
Kuwa mpole unafanya biashara, usiseme hana pesa maana mwenye pesa hanukii na kukwambia una uza bei kubwa si kwamba hanunui ungesema tu mnaweza punguziana au vinginevyo.
 
hauna pesa ya kununua haya magari, hata bei zake masokoni huzijui. Kaulize show room, halafu linganisha na bei azngu.

................
kwa kauli hizi mkuu utaweza biashara kweli??? Think big........talk like a business man....sio kama police Fulani hiv...
 
hauna pesa ya kununua haya magari, hata bei zake masokoni huzijui. Kaulize show room, halafu linganisha na bei azngu.

Mnana Joine Date:26 August 2013

Kuwa mpole unafanya biashara, usiseme hana pesa maana mwenye pesa hanukii na kukwambia una uza bei kubwa si kwamba hanunui ungesema tu mnaweza punguziana au vinginevyo.

Sawa Jamvini ni mgeni, kwenye biashara nako mgeni?
Mbona majibu hayaoneshi ukomavu wa katika biashara,
Uliza wenzio kina Youngmaster, wana-deal namna gani na challenge kama hizi!
 
Kuwa mpole unafanya biashara, usiseme hana pesa maana mwenye pesa hanukii na kukwambia una uza bei kubwa si kwamba hanunui ungesema tu mnaweza punguziana au vinginevyo.

Nimekuelewa Ndugu. Baadhi ya watu wanajibu tu Bila Kujua Ukweli wa jambo husika.
 
Ahsante kwa ushauri wako mzuri. Bora niwe mpole tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom