Magari 1,000 yakwama mpaka wa Tunduma

Magari 1,000 yakwama mpaka wa Tunduma

Siwezi kuumia mimi.
Maana mimi nauza hardware. Sio dereva wa malori wala sina kampuni ya kupeleka mizigo zambia.
Ila jaribu kuvaa viatu vya hao madereva,wafanyabiashara wa Tanzania wanao fanya mpakani tunduma.n.k.
Maisha yao yatakuwaje?
Mbona kama unateseka mkuu? Inaonekana umeumia kwa zambia kufunga mpaka wake, nakushauri usiteseke ni maamuzi yao ni kama sisi tunavyoamua kupambana kwa style yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siwezi kuumia mimi.
Maana mimi nauza hardware. Sio dereva wa malori wala sina kampuni ya kupeleka mizigo zambia.
Ila jaribu kuvaa viatu vya hao madereva,wafanyabiashara wa Tanzania wanao fanya mpakani tunduma.n.k.
Maisha yao yatakuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejaribu kuwaza lakini ukweli utabaki kila nchi ina mbinu zake za kupambana na corona kwahiyo wazambia wanapigania maisha yao, nakumbuka rais wetu alisema hawezi funga mipika kwakuwa majirani zetu wanatutegemea lakini cha ajabu hao majirani wanatuona sisi ndio tatizo wanatufungia mipika
 
Basi kaa ukijua huo mpaka hauwezi kufungwa zaidi ya mwezi.
Nimejaribu kuwaza lakini ukweli utabaki kila nchi ina mbinu zake za kupambana na corona kwahiyo wazambia wanapigania maisha yao, nakumbuka rais wetu alisema hawezi funga mipika kwakuwa majirani zetu wanatutegemea lakini cha ajabu hao majirani wanatuona sisi ndio tatizo wanatufungia mipika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hao nguvu ya soda.
Kwani mizigo inayotoka Tanzania ni raia wa nchi gani?.
Wazambia au watanzania?.
Wanawaumiza wafanyabuashara wao sio sisi
Vyovyote vile lakini ninachojua zambia wamefunga mipaka kwa manufaa yao na wataufungua kwa manufaa yao pia, kuna watu waliamini zambia hawezi funga mpaka hata kwa nusu saa lakini now its 24hrs toka wamefunga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
''Tunduma ni salama, Songwe ni salama hakuna haja ya wananchi kuwa na hofu, endeleeni kuchapa kazi,” alisema mkuu wa mkoa.
NIPASHE
Hilo nao ni neno! Kwa hiyo hao watanzania waliopatikana mpakani wote walitoka nje ya Songwe, au Zambia vipimo vyao ni kama vyetu - hata papai linakuwa + Wasitutishe!
 
Border hiyo by jumapili inayokuja watafungua coz hiyo border ni roho ya Zambia hawez lolote bila border hiyo pia nchi zingine Kama Congo na South Africa zitaathirika kwani wasafirishaji hupita border hiyo kwenda kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom