C Capitalist Senior Member Joined Feb 3, 2011 Posts 164 Reaction score 27 Jun 25, 2012 #21 Mungu ibariki Tanzania,Mungu ibariki CHADEMA.
S sangija Senior Member Joined Jun 15, 2011 Posts 144 Reaction score 25 Jun 25, 2012 #22 Hongera sna CDM,hio ni dalili nzuri sana,acha watu watambue na wajitambue! peopleeeeeeeeeeeees ..........er! Jaman wanaJF kama kuna mtu anafaham wapi naweza pata hizo pamba za M4C,tafadhali nijuzeni
Hongera sna CDM,hio ni dalili nzuri sana,acha watu watambue na wajitambue! peopleeeeeeeeeeeees ..........er! Jaman wanaJF kama kuna mtu anafaham wapi naweza pata hizo pamba za M4C,tafadhali nijuzeni