Magamba wa ccm,nani atafuata!!!

Magamba wa ccm,nani atafuata!!!

Daffi Jr

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2011
Posts
3,824
Reaction score
909
Hawa ndo mapacha watatu,moja amejivua gamba,nani atavaa kiatu cha Rostam?
 

Attachments

  • magamba.jpg
    magamba.jpg
    2.5 KB · Views: 65
Hawa ndo mapacha watatu,moja amejivua gamba,nani atavaa kiatu cha Rostam?

Kwani kujitoa CCM ndo kuacha wizi wa mali za serikali au kuacha kufanya ukatili kwa mali za wananchi....nyoka ni nyoka hata akijivua gamba ataendelea kuwa nyoka tu na gamba litaota lingine ndugu zangu.
 
Back
Top Bottom