Magamba si mchezo: Idd Azzan aomba radhi CCM!

Huyu Idd Azzan atakuwa aliongea jambo ambalo analifahamu juu ya ufisadi, hawezi kuropoka tu..lakini kwa kuwa ni mwoga na nahisi anaogopa kupoteza madaraka yake amekubali yaishe.
 
Hizi nidhamu za uoga na kuficha maovu hazifai kabisa huyu jamaa hafai kabisa kuwa kiongozi..hawezi jali maslahi ya wananchi waliompa nafasi!
 
Nilikuwa nasoma gazeti la Tanzania daima leo, nikakutana na kitu cha ajabu!
Inadaiwa katibu wa CCM Mkoa wa Dar es salaam bwana Kilumbe Ng'enda amemtuhumu mbunge wa Kinondoni bwana IDD AZZAN kuwa ni muuza dawa za kulevya hivyo aache kuwa nyooshea vidole vingozi wa mkoa kuwa wajivue gamaba kwani nayeye si mwanminifu.....

Jamani, sasa CCM inazidi kutufunulia jinsi livyo, kumbe inaviongozi wa ajabu hivi!
 
Alikuwa hafahamu kuwa JK ni kinyonga, akajiingiza kichwa kichwa. Jk keshapiga chenga na kurejea kukumbatiana na magamba!

JK hana lakupoteza... urais umeshamtosha, lichama lao(chichiem) likifa hajali. Lazima awatunje washkaji zake (RACHEL)... JK ni **** acheni tu hakuna mfano.
 
haaaaaaaaaaa mbona hajakamatwa hadi sasa... polisi mmesikia hiyo, je mpo? shahidi wa kumtia mbaroni Azan amepatikana ni katibu wa CCM Dar es salaam
 
Nilikuwa nasoma gazeti la Tanzania daima leo, nikakutana na kitu cha ajabu!
Inadaiwa katibu wa CCM Mkoa wa Dar es salaam bwana Kilumbe Ng'enda amemtuhumu mbunge wa Kinondoni bwana IDD AZZAN kuwa ni muuza dawa za kulevya hivyo aache kuwa nyooshea vidole vingozi wa mkoa kuwa wajivue gamaba kwani nayeye si mwanminifu.....

Jamani, sasa CCM inazidi kutufunulia jinsi livyo, kumbe inaviongozi wa ajabu hivi!

Mfanya biashara mkubwa Nguli wa madawa ya kulevya hata pale Magogoni wanajua!
 
Mkuu kweli! nilikuwa sijui!
Sasa kwanini walimruhusu kugombea ubunge mtu mwovo kiasi hicho? da! wanamagamba bwana!

Unauliza jibu Mzizi wa Mbuyu??? Chama cha mapinduzi kimebadilika na kuitwa Chama cha Maja..... au Chama Cha Magamba au Chama cha Mafisadi.
 
Mkuu kweli! nilikuwa sijui!
Sasa kwanini walimruhusu kugombea ubunge mtu mwovo kiasi hicho? da! wanamagamba bwana!

Hakuna mwema kule magambani, tena huyu muuza madawa ya kulevya labda ndio ana afadhali. No wonder jamaa kaomba msamaha faster.
 
Hizi zote ni athari za kukubari uchaguzu wa nguvu ya rushwa... Kama ni kweli tuhuma hizi yeye mwenyewe na waliompa kura wanamakosa kama kulikuwa na ushawishi wa kutoa au/na kupokea rushwa ili kumchagua/achaguliwe... Ni lazima kiongozi awe muadilifu ktk jamii ali aweze kuishawishi jamii iwe adilifu... Na hili tulitakiwa tuling'amue mapema pale matajiri na wafanya biashara wakubwa walipoamua kuwa wanasiasa na kukita mizizi ambapo ndo sababu kuu ya MAFISADI ndan ya Serikali yetu na Chama chetu tawala...LAKIN pia kama katibu amelisema hilo na ushahidi ingawa ni wa kufikirika kuwa alikuwa anajua hayo hata kabla Azan Hajagombea. Naamin CCM ni nzuri sana na inania nzuri kwa wananch wake. Tatizo liko kwa baadhi ya watendaji wake kama hawa... Nashauri kama kweli mh. AZAN anakiri ndani ya moyo wake anafanya haya basi eidha kuanzia sasa AACHE KABISA UCHAFU HUU maana hata dini yetu hairuhusu na pesa yake hauwezi ifanya hata sadaka mbele ya Mwenyezi Mungu, au ANG'ATUKE kwenye siasa na uongozi wa kuiongoza jamii. Yangu ni hayo ktk uzalendo wa ujenzi wa taifa hili.
 
hata huyo katibu wa ccm mkoa ni wa kukamata na kuwa mshtakiwa wa pili sio shahidi. ikiwa anajua mbunge wake muuzaji madawa ya kulevya na pengine yumo hata ktk orodha ya drug dealers ambayo hata mh Rais aliwahi sema anayo, kwann siku zote hakumripoti polisi ili akamatwe? kwnn hadi leo tena baada ya mbunge huyo kuituhumu ccm mkoa? nae ni mshiriki wa uhalifu tu akamatwe sambamba na mbunge wake
 
Kaka mziz wa mbuyu mbona katika gazeti hilo la tanzania daima hawajasema hizo tuhuma au wewe umesoma gazeti gani maana la leo ,limeelezea ugomvi na msamaha alioomba
 
Engineer
Acha kutufanya sisi wajinga, unamaanisha nini kusema "CCM ni nzuri sana .... Tatizo liko kwa baadhi ya
watendaji..."

Chama kinaundwa na watu, uadilifu wa watu ndio uadilifu wa chama, hauwezi kutenganisha
uadilifu wa viongozi na uadilifu wa chama.

Aliyeyasema hayo ni kiongozi mkubwa sana wa CCM, maana yake ni kwamba alikuwa anajua
kwamba mwanachama wake, kiongozi mwenzake ni muuza unga, mwenyekiti wa ccm mkoa,
alijua hilo na analijua mpaka sasa, all the way to mwenyekiti wa chama taifa, analijua na
alilijua.

CCM inafaidika na madawa ya kulevya ndio maana haina ubavu wa kuwakemea, kuwawajibisha
wala kuwakataa viongozi wasio waadilifu.

Huu ni uchafu ambao unategemewa kwa viongozi wote wa ccm, matendo
yao/yenu yote yanatushuhudia kwamba kwamba CCM ni OVU
 
Ana uhakika na alichosema, ila shida ni kuwa nayeye si msafi ki hivyo, alipoguswa sehemu nyeti (BIASHARA YA MADAWA YA KULEVYA) akanywea. Vita ya ufisadi inaweza kupiganwa na watu wasafi tu wasio na mawaa.
 
Kumbe anajifanya kusimamia maendeleo huku ndio anyewaharibu vijana wote Kinodnoni walio mateja!!!
 
Back
Top Bottom