Adolph
JF-Expert Member
- Sep 26, 2010
- 895
- 346
[h=6]Habari wanajamvi...uchaguzi umekwisha huko Igunga na gharama zilizotumika zimefahamika..kwa kifupi ni kwamba CCM ilitumia 3biln, CHADEMA 400Mln na CUF 150Mln...CCM wamepata kura 26,484, CHADEMA kura 23,286, CUF kura 2,104....kwa hesabu za haraka ni CCM-3,000,000,000/26,484=113,275/=
CDM-400,000,000/23,286=17177/=
CUF-150,000,000/2,104=71,292/= hivyo basi
CCM imegarimikia kura moja kwa tsh 113,275/=
CDM imegarimikia kura moja kwa tsh 17,177/=
CUF imegarimikia kura moja kwa tsh 71,292/=
kwa mtazamo wangu hapo chadema ndo washindi...ni mawazo tu......[/h]source:Nipashe,Tanzania Daima na Mtanzania