Magamba angalieni hapa ndo mtajua nani mshindi Igunga!

Adolph

JF-Expert Member
Sep 26, 2010
895
346
[h=6]Habari wanajamvi...uchaguzi umekwisha huko Igunga na gharama zilizotumika zimefahamika..kwa kifupi ni kwamba CCM ilitumia 3biln, CHADEMA 400Mln na CUF 150Mln...CCM wamepata kura 26,484, CHADEMA kura 23,286, CUF kura 2,104....kwa hesabu za haraka ni CCM-3,000,000,000/26,484=113,275/=
CDM-400,000,000/23,286=17177/=
CUF-150,000,000/2,104=71,292/=
hivyo basi
CCM imegarimikia kura moja kwa tsh 113,275/=
CDM imegarimikia kura moja kwa tsh 17,177/=
CUF imegarimikia kura moja kwa tsh 71,292/=

kwa mtazamo wangu hapo chadema ndo washindi...ni mawazo tu......
[/h]source:Nipashe,Tanzania Daima na Mtanzania
 
wABII NA WABABU JAMAN PUMZIKENI SIASA, WAACHIENI HAO CDM UONGOZI. TUTAWAPOKEA WAJUKUU NA WATOTO WENU BILA SHIDA. MF. J.MAKAMBA NA RIDIWANI

HAMIENI CDM MAPEMA. USHIRIKIANO NI MUHIMU VIJANA WENZANGU
 
Kama hiyo ni igunga tu sipati picha kwenye uchaguzi mkuu ccm walitumia kiasi gani.
CCM must die.
 
Kodi zetu zinatafunwa.wamemaliza na kuondoka but shida ya maji itaendelea.
 
I truly like your analysis!! its very realistic!!
Habari wanajamvi...uchaguzi umekwisha huko Igunga na gharama zilizotumika zimefahamika..kwa kifupi ni kwamba CCM ilitumia 3biln, CHADEMA 400Mln na CUF 150Mln...CCM wamepata kura 26,484, CHADEMA kura 23,286, CUF kura 2,104....kwa hesabu za haraka ni CCM-3,000,000,000/26,484=113,275/=
CDM-400,000,000/23,286=17177/=
CUF-150,000,000/2,104=71,292/=
hivyo basi
CCM imegarimikia kura moja kwa tsh 113,275/=
CDM imegarimikia kura moja kwa tsh 17,177/=
CUF imegarimikia kura moja kwa tsh 71,292/=

kwa mtazamo wangu hapo chadema ndo washindi...ni mawazo tu......


source:Nipashe,Tanzania Daima na Mtanzania
 
Without any doubt you are a statistical analyst..............umenifanya niduwae na kufurahi mkuu
 
habari wanajamvi...uchaguzi umekwisha huko igunga na gharama zilizotumika zimefahamika..kwa kifupi ni kwamba ccm ilitumia 3biln, chadema 400mln na cuf 150mln...ccm wamepata kura 26,484, chadema kura 23,286, cuf kura 2,104....kwa hesabu za haraka ni ccm-3,000,000,000/26,484=113,275/=
cdm-400,000,000/23,286=17177/=
cuf-150,000,000/2,104=71,292/=
hivyo basi
ccm imegarimikia kura moja kwa tsh 113,275/=
cdm imegarimikia kura moja kwa tsh 17,177/=
cuf imegarimikia kura moja kwa tsh 71,292/=

kwa mtazamo wangu hapo chadema ndo washindi...ni mawazo tu......


source:nipashe,tanzania daima na mtanzania

mkuu upo sawa kabisa ila tupatie chanzo cha hizo data zako (au ni za kufikirika tu?)
 
duh... nimeipenda hiyo, bonge la tathmini... ngoja niendelee kukaa hapahapa maana mahali hapa nimepapenda (kivulini...)
 
wewe una akili mingi sana, maana unatakiwa ukipata data zifanyie kazi ndio zinakuwa na maana

thanks kaka...wao wakilala sisi inabidi tuamke...ila magamba hawapendi kuambiwa ukweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom