Maneno ya kijinga na kashifa sio mazuri tukijibu matasema wadini cjui nn hkn muislam yyote anae ufarahi kutoa uhai wa mtu mwingine awe dini yyote ileWalikuwa wanachekelea tumboni wanaposikia makafir wameuwawa na magaidi. Wanasahau jini ukilifuga likimaliza majirani kuna siku litageukia wanao na mwisho wa siku linakumalizia wewe mwenyewe. Kama wamepiga jirani na kaburi la Mtume wanayejidai kumfuata tena kipindi muhimu kama hiki cha mfungo hao hawawezi kuwa watu wa kawaida ... Ni mashetani kamili katika umbo la binadamu ...
Huo mlipuko haukuwa bomu au kujitowa muhanga bali ni mtungi wa gesi katika moja ya hoteli jirani na msikiti mkuu wa mtume
Aisee! ... ila muisilam halisi anaweza kufanya hivyo katika miezi mingine isiyo mitukufu!...magaidi si Islam wanatumia mgongo wa Islam kuuchafua uislam, Islam hawezi fanya upuuzi huu katika mwezi mtukufu
Mkuu hizi dini ni people's interests basi, bora tukaachana nazo make sahivi wanatwambia tuwapende na mashoga eti ni ndugu zetu. Kwani Mungu alivyowatia kiberiti Sodoma hawakuwa watu wake?Mtiririko wa matukio haya ya kinyama yanayofanyika kwa jina la Muumba ambaye tunaambiwa kuwa ni mwingi wa huruma kwenye vitabu tulivyoletewa....vinanifanya nianze kufikiria upya kuhusu hizi imani tunazokaririshwa.........
Bora nirudi kuabudu kwenye mizimu ya mababu...ambapo mambo yetu yalikuwa poa.....
kama sijakosea mkuu ulimaanisha Khawariji.Magaidi wa kwanza walikuwa ni KHAWAJIR wao waliredefine maana ya Jihad sio tu vita dhidi ya wasioamini imani yao bali hata kama unaimani ya kiislam lkn unaenda kinyume na wao wanavyoona wewe walikuita ni kafir. Na hawa inasemekana ndio chanzo cha watu kujitoa Muhanga enzi hizo karne ya sita/saba. Inawezekana misimamo hiyo bado ipo duniani hadi leo. Hakuna jipya chini ya jua. TAtizo ni pale tunapokuwa washabiki wa kidini bila kutafuta mizizi ya matatizo yanayokukabili. Na sehemu walipopotelea ni hapohapo leo wapo isis wanapoiua ndugu zao katika imani
Mkuu hizi dini ni people's interests basi, bora tukaachana nazo make sahivi wanatwambia tuwapende na mashoga eti ni ndugu zetu. Kwani Mungu alivyowatia kiberiti Sodoma hawakuwa watu wake?
Ndo pale unapokuta misemo ya wahenga inaleta maana tena imeshiba kweli(mchelea mwana kulia,hulia mwenyewe)-walisema hawa watu ni watetea dini sasa now ndo mtawajua kuwa si lolote na maneno ya #dontrump ingawa yana ukakasi lakini ni ukweli mtupuKuna thread ilikuwa humu kuwa kwa yeyote atakayeshambulia Saudia basi atakipata cha moto kutoka kwa jumuia ya Kiislamu...sasa sijui kwa hili itakuwaje,ngoja tuone.
Ila magaidi hawafai na hapa dada @Faizafox sijui atasemaje,kama atawatetea au atajililia kimya kimya maana himaya imeguswa nayo
Hawa akina faizafoxy ulowamention hawa lolote lile la kusema,hao ni wapiga zumari labda ungem mention#barackObama# ili ajue #Donaldotrump# sometimes huwa anaona mbaliThis is too much now! Haya dunia na isimame kidete sasa dhidi ya wauwaji hawa wasiokuwa na utu wala huruma. Nitashangaa mtu yeyote awe mwislamu au yeyote yule iwe humu JF au nje atakaye simama upande wa hawa mashetani. Dini inatekwa hii msipokuwa makini. Cc: FaizaFoxy Ritz abui7 Pohamba kahtaan THE BIG SHOW et. al.
uko sawa chief.kama sijakosea mkuu ulimaanisha Khawariji.
Mkuu mbona makundi yote mna yakana? alaf kwa baadhi ya matukio mnashangilia? lakini wakigusa kwenu wanakua sio wenzenu?Isis sio Muslim ila wanafanya watu waone ni muslim
Acha uongo nilishawahi kusema kuwa hawa watu ni KULWA na DOTTO,huwezi kutenganisha Uislamu na Uuaji wa watu wasiokuwa na hatia ni ajabu sana watu wengine wanajaribu kuupaka rangi Uislamu ilihali Uislamu ulishafungamanishwa na Magaidi toka siku nyingi wanaojaribu kuupaka rangi nzuri wanajidanganya wenyewe,mifano ipo wazi kudhibitisha hili,Huko Kenya westgate na huko Garissa wengi walifurahia kuuwawa kwa watu waliokuwa si waislamu licha ya hayo yanayotokea huko ilikotokea hiyo dini yanatufundisha kujua hii dini ni ya namna gani.Thats why huwa nasema magaidi huwa si waislam, inawezekana wakahukumiwa ni waislam kwa rangi, majina n.k lakin nyoyoni mwao kabisa hawana uislam hata chembe, siwatofautishi na hussein lakin mzinifu, choki n.k.. Uislam ni zaid ya jina na takataka nyingne, sijawahi kufurahia hawa wanaojiita watetez wa uislam kuwaua binadamu wengine.. Uislam ni kitu kimoja na Ugaidi kitu kingine.
Kama magaidi yangepiga kanisani ungewaona wanakuja na mbwembwe nyingi sana na visingizio lukuki.
Nawale anti baraka ni waislamAcha uongo nilishawahi kusema kuwa hawa watu ni KULWA na DOTTO,huwezi kutenganisha Uislamu na Uuaji wa watu wasiokuwa na hatia ni ajabu sana watu wengine wanajaribu kuupaka rangi Uislamu ilihali Uislamu ulishafungamanishwa na Magaidi toka siku nyingi wanaojaribu kuupaka rangi nzuri wanajidanganya wenyewe,mifano ipo wazi kudhibitisha hili,Huko Kenya westgate na huko Garissa wengi walifurahia kuuwawa kwa watu waliokuwa si waislamu licha ya hayo yanayotokea huko ilikotokea hiyo dini yanatufundisha kujua hii dini ni ya namna gani.
Kama magaidi yangepiga kanisani ungewaona wanakuja na mbwembwe nyingi sana na visingizio lukuki.