Magaidi waishambulia Medina

Status
Not open for further replies.
Kuna watu ambao hawatokubali/hawatotaka/hawapotayari kuona dunia ikielea ktk amani kwasababu kutulia kwa dunia kunahatarisha ukuaji wa uchumi wao, uchumi wao hutegemea uporaji na unyang'anyi ila mambo kwa yawe sawa.
 
May this religion and the owner go to hell and burn to eternity.
No owner of the religion Mkuu. We all believe in God na hata vitabu vyetu vinaendana kwa kiasi chake. Usipende kukashfu dini za wengine hata chembe. Waache na imani maana hata wewe huna hakika kwamba dini yako ndo takatifu na iliyo sahihi mbele ya Mwenyenzi Mungu.

Mimi ni Mkristo lakini nimejiweka katika nafasi ambayo mtu wa dini hiyo uliyoilaani yupo muda huh kwa maneno yako. Tumuombe Mungu kwa jinsi ambavyo tumejaliwa.
 
Nadhani wewe nawenzio ndio mjue kwamba magaidi si Islam wanatumia mgongo wa Islam kuuchafua uislam, Islam hawezi fanya upuuzi huu katika mwezi mtukufu, tulipojaribu kuwaelimisha mlijifanya mnajua, leo mmeshuhudia wenyewe, endeleeni kubisha si ndio zenu
 
Inabidi tuahirishe kusherekea sikukuu ya Idd kwa ulimwengu mzima.Saudi Arabia watangaze hilo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…