Magaidi wa Garisa

Magaidi wa Garisa

wenye hatia ni wepi?
Watu hapo ndipo wanapokosea mpaka tunaonekana tunatukana hovyo kama kweli wewe unajipambanua kuwa unaguswa na kutolewa uhai kwa mwanadamu kwani unaonekana kuguswa sana mauaji ya upande mmoja....?? Hao AL SHABAAB wanafanya mauaji na wanajeshi wa KENYA mauaji tunachotakiwa kukifanya kama jamii ya wastaarabu ni KULAANI MAUAJI YANAYOFANYWA NA PANDE ZOTE MBILI BILA UPENDELEO HUKU TUKITAFAKARI NAMNA YA KUYAKOMESHA katika maridhiano ya kudumu huku dunia ikabaki kuwa mahali salama kwa kuishi kwa vizazi vya sasa na vizazi vijavyo....
 
Dini hizi?kweli tutamalizana wenyewe kwa wwnyewe,mijitu mnyeusi ni shiida,dini Enyewe tumeletewa na zinatutesa sasa mbona mababu zetu hawakupambana?mh
 
hii miserikali ya kiswahili ni ya kiqumer sana. haya yote yanatokana na serikali ya kenya kupeleka majeshi yake somalia. USENGErema wa serikali ndio unaowaponza wananchi.

Wale wasomali wangeachwa wachinjane mpaka wamalizane hakuna watu wenye rohombaya kama ile kabila watu wa temeke wanawajua vema
Hii vita wanaoumia ni wananchi wa kawaida wasio na uwezo wa kujilinda au kulindwa na serikali yao
 
hata hao wakenya wachache sio mbaya ukilinganisha na wasomali wanaouawa na majeshi ya kenya

Hivi kuna watu wenye akili kama yako?!! Huna akili sawasaw...ningekuwa mods ungechezea ban na vibao
 
aah wapi, watakuwa wanamdunda mudi huko motoni kwa udanganyifu aliowaletea. mudi mwenyewe anaungua moto sasaivi na hao wote wanaenda kuungana nae.

Dada Hute unasema kweli lakini?
 
Last edited by a moderator:
Acheni kuongelea magaidi wawili walio uawa enyi watu wa mungu,kumbukeni ukiona mwenzio katiwa maji jiandae pia,roho ya udini hata kwetu imetia kambi na kama wewe hufahamu naomba utazame nyakati hizi na za zamani,hatuwezi kuruhusu maujji kwa wenzetu popote africa au nje!tafakari watu kama hawa wakristo wa garissa walivyouawa!leo hii unacheka hapa na kutoa meno yako mabovu badala yakuchukua hatua ,,,ETI MTU ANATAFAKAR Ak47,Sijui jamani mko vipi,umia na uweke imani yako thabiti,acheni ushabiki View attachment 240544
 
Back
Top Bottom