Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,907 Reaction score 193,925 Oct 19, 2021 #21 Wenye asili ya kiarabu au uhindi...
Jambo Kubwa JF-Expert Member Joined Jan 21, 2017 Posts 222 Reaction score 387 Oct 19, 2021 #22 Kuna mstari wa Prof Jay "_____ kama zama za Mtikila na sera za magabachori" Ndo nauelewa leo [emoji2]
Kuna mstari wa Prof Jay "_____ kama zama za Mtikila na sera za magabachori" Ndo nauelewa leo [emoji2]
Auz JF-Expert Member Joined Apr 6, 2016 Posts 13,840 Reaction score 11,775 Oct 20, 2021 #23 Kinyungu said: Acha urongo. Mtikila alianza kuita Wahindi wezi Magabachori pale viwanja vya Jangwani. Wakati huo hakuwa amejiunga Chadema bado Click to expand... Mtikila alikuwa chadema?
Kinyungu said: Acha urongo. Mtikila alianza kuita Wahindi wezi Magabachori pale viwanja vya Jangwani. Wakati huo hakuwa amejiunga Chadema bado Click to expand... Mtikila alikuwa chadema?
Auz JF-Expert Member Joined Apr 6, 2016 Posts 13,840 Reaction score 11,775 Oct 20, 2021 #24 Kigera Kwetu said: Hivi marehemu Mchungaji Mtikila...aliwahi kuwa mwanachama wa chadema?... Click to expand... Kwamba kama sio CCM ni chadema? Alikuwa na chama chake DP kama sikosei.
Kigera Kwetu said: Hivi marehemu Mchungaji Mtikila...aliwahi kuwa mwanachama wa chadema?... Click to expand... Kwamba kama sio CCM ni chadema? Alikuwa na chama chake DP kama sikosei.
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 62,770 Reaction score 94,798 Oct 20, 2021 #25 Jambo Kubwa said: Kuna mstari wa Prof Jay "_____ kama zama za Mtikila na sera za magabachori" Ndo nauelewa leo [emoji2] Click to expand... Don town kitambo utanieleza nini enzi hizo wengi wenu bado hamjaja mjini - jay wa mitulinga.
Jambo Kubwa said: Kuna mstari wa Prof Jay "_____ kama zama za Mtikila na sera za magabachori" Ndo nauelewa leo [emoji2] Click to expand... Don town kitambo utanieleza nini enzi hizo wengi wenu bado hamjaja mjini - jay wa mitulinga.
Kinyungu Platinum Member Joined Apr 6, 2008 Posts 22,370 Reaction score 45,007 Oct 20, 2021 #26 Auz said: Mtikila alikuwa chadema? Click to expand... Kuna wakati alikuwa Chadema na akagombea ubunge huko kwao Ludewa kwa tiketi ya Chadema.
Auz said: Mtikila alikuwa chadema? Click to expand... Kuna wakati alikuwa Chadema na akagombea ubunge huko kwao Ludewa kwa tiketi ya Chadema.
Kinyungu Platinum Member Joined Apr 6, 2008 Posts 22,370 Reaction score 45,007 Oct 20, 2021 #27 Auz said: Kwamba kama sio CCM ni chadema? Alikuwa na chama chake DP kama sikosei. Click to expand... Hicho alianzisha baada ya kitoka Chadema nadhani johnthebaptist
Auz said: Kwamba kama sio CCM ni chadema? Alikuwa na chama chake DP kama sikosei. Click to expand... Hicho alianzisha baada ya kitoka Chadema nadhani johnthebaptist
Auz JF-Expert Member Joined Apr 6, 2016 Posts 13,840 Reaction score 11,775 Oct 21, 2021 #28 Kinyungu said: Hicho alianzisha baada ya kitoka Chadema nadhani johnthebaptist Click to expand... Chama chake kilikuwapo tangu mwanzoni, sema hakikupata usajili na kushiriki chaguzi kutokana na misimamo ya kiubaguzi, ndio chadema wakamuazima asimame kwenye chama chao, hata hivyo hakushinda.
Kinyungu said: Hicho alianzisha baada ya kitoka Chadema nadhani johnthebaptist Click to expand... Chama chake kilikuwapo tangu mwanzoni, sema hakikupata usajili na kushiriki chaguzi kutokana na misimamo ya kiubaguzi, ndio chadema wakamuazima asimame kwenye chama chao, hata hivyo hakushinda.