Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtikila alikuwa chadema?Acha urongo. Mtikila alianza kuita Wahindi wezi Magabachori pale viwanja vya Jangwani. Wakati huo hakuwa amejiunga Chadema bado
Kwamba kama sio CCM ni chadema? Alikuwa na chama chake DP kama sikosei.Hivi marehemu Mchungaji Mtikila...aliwahi kuwa mwanachama wa chadema?...
Kuna mstari wa Prof Jay "_____ kama zama za Mtikila na sera za magabachori"
Ndo nauelewa leo
Kuna wakati alikuwa Chadema na akagombea ubunge huko kwao Ludewa kwa tiketi ya Chadema.Mtikila alikuwa chadema?
Hicho alianzisha baada ya kitoka Chadema nadhani johnthebaptistKwamba kama sio CCM ni chadema? Alikuwa na chama chake DP kama sikosei.
Chama chake kilikuwapo tangu mwanzoni, sema hakikupata usajili na kushiriki chaguzi kutokana na misimamo ya kiubaguzi, ndio chadema wakamuazima asimame kwenye chama chao, hata hivyo hakushinda.Hicho alianzisha baada ya kitoka Chadema nadhani johnthebaptist