Mafwele yuko wapi?

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,844
Reaction score
141,214
Tokea awekewe vikwazo na Marekani, huyu aitwaye Mafwele sijamsikia wala kumwona tena.

Hivi yuko wapi huyu kiumbe?

Ila hawa watu hawana kabisa busara.

Miaka 10 ijayo huyu Mafwele hatokuwa na hicho cheo alichonacho.

Ataishi wapi huyu takataka ukizingatia yote aliyoyafanya?

Natamani sana nikutane naye uraiani halafu tuone kama huo ukatili wake utafanya kazi kama akiwa hajazungukwa na hao sungusungu wake wenye magobole.

Mafwele wewe ni fala mseenge tu.

Fight me one on one if you’re that tough. You are a bytch.
 
Huyo Jamaa akishastaafu namshauri akafanye plastic surgery ya uso ili raia wasimtambue na aende kuishi nchi nyingine maana watu wana hasira naye sana.
 
Ukiona umetangazwa jina na wamerakani ujue ulijaza kuomba viza wakaangalia ban list upo wanakutwanga hadharani!

Ila ningefurah sana kama USA wangetoa list yoyote tu ya waliopigwa BAN Hawa WAHUNI tuwajue
 
Keyboard warriors ni tumaini la taifa.
 
Kitu ambacho Nina uhakika nacho ni kuwa ukiuwa mtu utalipia tu, wewe na kizazi chako
Nina uhakika siku sio nyingi mafwele na familia yake wataishi uhamishoni kama familia za Idd Amin, Gadaffi, Mobutu Seseko n. K
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…