Mafuta ya oilcom yana maji muwemakini na magari yenu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafuta ya oilcom yana maji muwemakini na magari yenu!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, May 20, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,219
  Likes Received: 5,617
  Trophy Points: 280
  Wapendwa
  si mbaya kuweka hapa jamvini..jana nilikuwa naweka mafuta pale engen mbezibeach..kwa mbele nikaona jamaa amepaki ananyonya kitu kutoka kwenye gari inamwagika yakamwagika mengi tu.nikamuuliza shemeji yenu yale maji ama..akasema mbona arufu ya mafuta..nikapaki nyuma yake na kumfwata..aliponiona akasema kaka wameniweza nikamwambia nini zaidi..akasema unajua sinamazoea ya kuweka mafuta oilcom..ila nilipotoka ubungo kwenda mwenge nikaona yanaweeza katika nikaongeza mafuta pale oilcom opposite na maduka ya vinyago....niliumia sana sana maana sehemu hiyo hiyo nilishawahi kukorofishana nao..niliweka mafuta ya alfu ishirini na tano...nilipofika mwenge mshale aunyanyuki nikawaza nilipofika lugalo imesimama kidogo nikaamua kurudi na kwenda mpaka mwenge tena akika ulibakii pale pale nikaenda kuwambia walippofika wakaifwata kama watu wawili nikawaeleza nikawambia naomba supervisor wao..wakadai anakuja akaletwa mhuni mmoja baada ya muda nikamwambia unaitwa nani...akutaka kujibu..nikamweleza sijamaliza akadai niwekeewe mengine ya alfu ishirini yawezekana papmu ilikuwa na matatizo..mbaya sana sana..nilishangaa sana ...nikamwambia ukinion a tena happa ujue gari iko pemben ya shel yako imekata mafuta..

  Sasa turudi kwa yule kaka akadai alipofika akaweka mafuta ya alfu 30 yakapanda fresh alipokuwa akiendesha gafla ikaaza miss..loh akampigia fundi wake akamwambia yawezekna umewekewa maji akakataa...akakutana nae pale engine yaani ukiona yanayotok aibu

  muwe makini jaman n rst hata kam sh 5000 muweze kuwa na ushahid
   
Loading...