The Industry
Senior Member
- Sep 1, 2012
- 120
- 41
Habari za leo wajasilia wenzangu mimi ni mkazi wa kigoma huku kwetu malighafi za kutengenezea sabuni zinapatikana sana kama mise na mawese hivyo kwa yeyote ambaye anahitaji malighafi hizo anipigie kwa namba hii 0687108905 nitamfikishia mpaka kwake.