M Mawele Platinum Member Joined Jul 25, 2023 Posts 1,151 Reaction score 4,206 May 20, 2026 #1 Wakuu, hapa kwetu, Kimara mafuta ya kupikia yanazidi kuota mbawa, kwa sasa lita tunanunua 5600, hali ya maisha inazidi kuwa ngumu sana. Hivi huko kwenu yamefikia kiasi gani hemu nijuzeni kama kuna unafuu nifanye mpango kuyafata.
Wakuu, hapa kwetu, Kimara mafuta ya kupikia yanazidi kuota mbawa, kwa sasa lita tunanunua 5600, hali ya maisha inazidi kuwa ngumu sana. Hivi huko kwenu yamefikia kiasi gani hemu nijuzeni kama kuna unafuu nifanye mpango kuyafata.
Jackson QUECA JF-Expert Member Joined Oct 6, 2024 Posts 245 Reaction score 631 May 20, 2026 #2 Uku Rock city 1litr 6000
ShesRise_1 JF-Expert Member Joined Aug 21, 2025 Posts 22,014 Reaction score 50,667 May 20, 2026 #3 Pole aisee
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 18,131 Reaction score 22,193 May 20, 2026 #4 Watawala wala hawana time n watanganyika. Tucpo jipigania kazi ipo. Viongozi wenu wako bize n Bata Batani. Kazi ni kipimo cha utu
Watawala wala hawana time n watanganyika. Tucpo jipigania kazi ipo. Viongozi wenu wako bize n Bata Batani. Kazi ni kipimo cha utu
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,481 Reaction score 138,348 May 20, 2026 #5 Dawa yao kuleni chukuchuku tu! Ova
Pulchra Animo Platinum Member Joined Jun 16, 2016 Posts 8,579 Reaction score 15,057 May 20, 2026 #6 Mawele said: Wakuu, hapa kwetu, Kimara mafuta ya kupikia yanazidi kuota mbawa, kwa sasa lita tunanunua 5600, hali ya maisha inazidi kuwa ngumu sana. Hivi huko kwenu yamefikia kiasi gani hemu nijuzeni kama kuna unafuu nifanye mpango kuyafata. Click to expand... Mafuta ya kupikia ya aina zote yana bei moja?
Mawele said: Wakuu, hapa kwetu, Kimara mafuta ya kupikia yanazidi kuota mbawa, kwa sasa lita tunanunua 5600, hali ya maisha inazidi kuwa ngumu sana. Hivi huko kwenu yamefikia kiasi gani hemu nijuzeni kama kuna unafuu nifanye mpango kuyafata. Click to expand... Mafuta ya kupikia ya aina zote yana bei moja?