Elections 2010 Mafuta ni ya Wazanzibari: Zitto Kabwe

Junius, hamna haja sana ya kubishana na watu na kujadili ni mafuta ya nani.

Mchagueni Dr. Slaa na yeye atalivunjilia mbali li Muungano la TANU na ASP.

Sasa hivi anzeni tu kujadili jinsi ya kuwapokea Wapemba kutoka Dar na Slaa aanze kujenga makazi mapya ya Watanganyika kutoka Zenji. Shoka limeshawekwa kwenye mpini na ni kali kweli. Tunasubiri tuone tunavyokufa kwa kukosa Mafuta ya Zenji.
 
Back
Top Bottom