Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,864
- Thread starter
-
- #101
mimi mume wangu nitampaka ndioNdio shukurani ya kuolewa hiyo....kijana mwenzako umemuwekea sharti la kupaka mafuta Makalio yake kisa asikuchanie Mashuka anayonunua kwa pesa yake...!!
Duuh....ama kweli...[emoji3] [emoji3] [emoji3] hakuna wake siku hizi...ndio maana Zilipendwa inapendwa zaidi ya Seduce me....!!
Sijamsema mtu mimi...[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
bora uwaeleze mkuuUnapopaka mafuta mwilini kila sehemu ya mwili inapaswa kupakwa mafuta kama makalio ni sehemu ya mwili inahusika pia, inashauriwa ukimaliza kuoga kabla hujavaa nguo paka mafuta ukiwa ukiwa uchi ili kila sehemu ipate haki yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahah acha uhuni wewe hahahaha uwiiiiiii kuna pombe hum hatali sanahayalainishi makalio mkuu yanafanya ngozi ya kalio iwe nyororo . malakio makabu yanaharibu suruali na mashuka
hii ni biashara mkuu unatak ila mtu auze?
mmekauka mnoa hadi mkipita karibu ya moto mnaweza kuwaka
Miss wee sio wakutunanga ivyo daa aya ngoja nije pm uninange vizuriwanaume wengi wana makalio yamekaukaa, mikono vikogo vyeusii ukijumlisha na mapombe wanayokula na chips basi vijana wadogo ngozi zimezeeka sijui uzeeni watakuwaje
nimeamua kuuza mafuta ya kuwasaidia
njoo pm uwe na ngozi yenye afya.
bei tsh 20,000 tu unaletewa ulipo
ukinunua kopo mbili unapewa zawadi ya boxer bure!
unanunua mkuu?AMA KWELI AKUTUKANAYE HAKUCHAGULII TUSI
UNATAKA MWANAUME AWE NA MAKALIO NYORORO
mmekauka sana mkuu jua likiongezeka kidogo mnaaanza kuwakaMiss wee sio wakutunanga ivyo daa aya ngoja nije pm uninange vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hayo mafuta si yatafanya kalio la Mwanaume liwe soft kama la kike, Tako la kiume linatakiwa liwe tofauti jaman vinyweleo vyeusi viwepo na gumuwanaume wengi wana makalio yamekaukaa, mikono vikogo vyeusii ukijumlisha na mapombe wanayokula na chips basi vijana wadogo ngozi zimezeeka sijui uzeeni watakuwaje
nimeamua kuuza mafuta ya kuwasaidia
njoo pm uwe na ngozi yenye afya.
bei tsh 20,000 tu unaletewa ulipo
ukinunua kopo mbili unapewa zawadi ya boxer bure!
mnaona raha gani kuwa na mamalio yenye magaga jamani?Sasa hayo mafuta si yatafanya kalio la Mwanaume liwe soft kama la kike, Tako la kiume linatakiwa liwe tofauti jaman vinyweleo vyeusi viwepo na gumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kitu ambacho hakiwezekan nasisitiza hakiwezekan mwanaume kuwa na tako laini.Ahahaa huwezi fanya biashara mpaka utoe dongo.
Ivi kuna wanaume wanataka makalio yawe laini laini
Napita
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hayalainishi makalio mkuu yanafanya ngozi ya kalio iwe nyororo . malakio makabu yanaharibu suruali na mashuka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ahahaa huwezi fanya biashara mpaka utoe dongo.
Ivi kuna wanaume wanataka makalio yawe laini laini
Napita
Sent using Jamii Forums mobile app