Sijajua unapenda staili gani.kwel mkuu hlo n la kuzngatia pia n vema kama unajua ukanipa details za mafuta yap n mazur kwa nywele
Msaidie mtotoSijajua unapenda staili gani.
Kuna wanaopenda kufuga afro,
Kuna wazee wa size ya brush
Kuna wa normal yaan sio ndefu wala sio fupi
Sasa nikikuchek nakuona kabisa utaingia ktk super black
Kama ulishaanza michezo ya kubadili rangi ya nywele kiukweli tayar ushaharibu rutba ya kichwa chako.
Ushauri wangu tumia mafuta ya nazi
MINARA kama wewe ni mzee wa size ya brush
Tena Minara unapiga jiwe moja ndege wawili.
Unapaka ktk ngozi na kichwani.
Au AMLA kwa nywele ndefu.
Au ww ni mzee wa Lotion?
Sent from my LM-V409N using JamiiForums mobile app
Mkuu nywele zinakuwa ndefu na nyeusi?Bei yake sh ngaptafuta mafuta ya nywele yanaitwa OPTIMAL HAIR FOOD utakuja kunishukuru baadae.
Jaribu na mafuta yanaitwa Kerosene, wansema pia mazuri kwa nywele.
hapo sasaUnaona sifa sio!?
Hata mieMimi natafuta mafuta ya dread na sabuni zake za kuosha.
Njo pm nikuelekeze yanapouzwa.Hata mie
SijiNjo pm nikuelekeze yanapouzwa.
Hii ndo olive?Mkuu unaambiwa mafuta ya MZEITUNI ni mwisho wa yote.