Mafuta Mazuri ya kupakaa ya Nywele

sojobizzy

Senior Member
Oct 18, 2016
130
152
Wakuu habarini

Naombeni msaada wa mafuta mazur ya nywele ambayo yatanisaidia kurefusha nywele na kuzfanya ziwe nyeusi na muonekano mzuri wa kuvutia maana wengine tuna nywele za vipili pili

Natanguliza shukrani
 
kwel mkuu hlo n la kuzngatia pia n vema kama unajua ukanipa details za mafuta yap n mazur kwa nywele
Sijajua unapenda staili gani.
Kuna wanaopenda kufuga afro,
Kuna wazee wa size ya brush
Kuna wa normal yaan sio ndefu wala sio fupi

Sasa nikikuchek nakuona kabisa utaingia ktk super black

Kama ulishaanza michezo ya kubadili rangi ya nywele kiukweli tayar ushaharibu rutba ya kichwa chako.

Ushauri wangu tumia mafuta ya nazi
MINARA kama wewe ni mzee wa size ya brush

Tena Minara unapiga jiwe moja ndege wawili.
Unapaka ktk ngozi na kichwani.

Au AMLA kwa nywele ndefu.

Au ww ni mzee wa Lotion?

Sent from my LM-V409N using JamiiForums mobile app
 
Msaidie mtoto
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom