Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 178,491
- 196,226
Mleta mada...Naniii
Mleta mada...Naniii
Sisimizi hawakupandi kweli?Mafuta ya nazi ni mazuri sana, ngozi yangu imekuwa laini, tena mimi napaka Mnara
Hapana, mbona watoto wanapaka sisimizi hawawapandiSisimizi hawakupandi kweli?
Je kama ushawah kujichubua yanafaa?Hayachubui ni mazuri kwa familia hasa afya ya ngozi. Pia yako cool na yananyoosha ngozi haswa
Maandalizi yake yakoje mamiiMazuri sana ni yale ya kupika mwenyewe rafiki yangu