Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,441
- 4,093
kavu...nipe ambayo ni the best hata kama bei ghaliMafuta ni mengi but inadepend na aina ya ngozi yako ni kavu, ya mafuta au ipi
kavu...nipe ambayo ni the best hata kama bei ghaliMafuta ni mengi but inadepend na aina ya ngozi yako ni kavu, ya mafuta au ipi
kavu...nipe ambayo ni the best hata kama bei ghali
ntaleta mrejeshoVitamin E, collagen, nivea dry skin lotion
Sawa, uzingatie kuosha uso twice a day,ntaleta mrejesho
Na vipi kama ni ngozi yenye mafuta?Vitamin E, collagen, nivea dry skin lotion