Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,154
- 13,267
Wadau Hii Picha nimeipenda, mwenye uzi mwekundu na blue ni Mkurugenzi Mtendaji wa NBC Lawrence Mafuru akisakata soka na wafanyakazi wake siku ya familia ya benki hiyo, nimeipenda sana hii, angekuwa mwingine angekuwa kibishoo zaidi........japo huenda humo mifukoni kuna simu waleti etc, pombeni kuna jamaa anaogopa hata kukaba.....


