Sidhani..nafikiri hajui alichoandika..kwa tafsiri yangu..hiyo mistari ya mwisho amejipiga kijembe..kwamba ameshindwa kutumia busara zake kuchagua mahali pa kuongea/ kusema hicho alichosema ambacho kimekuwa catalyst ya kuondolewa kwake..ni maoni yangu tu.Moja ya semi bora kuwahi kutokea kutoka kwake
vingereza vya IFM navyo hivi shida tu. tupa kule. kwahiyo hiyo ndio kukopy na kupaste toka wapi?Kwenye ukurasa wake wa Twitter ameandika
" Knowledge is knowing what to say, wisdom is knowing when to say"
Chanzo: Azam news
Hiyo semi sio "yake" bali amenukuu, aisee.Unaweza kuweka semi zake nyingine ili tupime??
Alafu huyo mtu ndio yuleyule ambae 2015 alikuwa akiimba mabadiriko. Aibu hii!Akwende zake hapa, hata ningekuwa mim ningemtimua, wewe bosi alishasema pesa zetu zisiwekwe FDA, hiyo ilikuwa ni amri kutoka kwa raisi, sasa nyie na kakundi kenu mkasahau kwamba rais wa sasa hivi hana site mirror.
Yani nikikumbuka pesa za tegeta escrow zilivyotoka BOT zinanipa hasira mtu anapotokea na kusema FDA haiwezi kuliwa!!
Sasa hiyo misemo yake inasaidia nini? Nani ana mda nayo. Yeye keshatumbuliwa aache kuwewesekaUkisoma na kupata GPA yako kihalal raha sana...unakuwa huogopi...unamchallenge ata boss wako sio wale walioungaunga elimu...chuon GPA za chabo
Kwenye ukurasa wake wa Twitter ameandika
" Knowledge is knowing what to say, wisdom is knowing when to say"
Chanzo: Azam news
Tatizo njaa zinaua elimu na taalumaHuwa naona fahari ya Elimu pale msomi akiacha ulofa na ukada akaanza kutumia akili yake kufikiri vizuri.
Kwenye ukurasa wake wa Twitter ameandika
" Knowledge is knowing what to say, wisdom is knowing when to say"
Chanzo: Azam news