Mafuriko ya Mjini Dar es salaam

Poleni Wa Dar Sisi Wa Arusha Huku Hatuna Majanga Kama Hayo Karibuni Pia.
 
Kumbe si wanaume wa Dar pekee wenye shida ukilinganisha na wa mikoani, hata eneo la Dar ni yaleyale yaani hamna kitu ukilinganisha na maeneo ya mikoani!
 
Na iwe salama. Pole kwa waliofikwa. Yule jamaa atasema hivi kwani sirikali ndiyo iliyo leta mafuriko? Hatuna tena mtetezi wanyonge sie.
 
Inabidi sasa hivi kila mwenye nyumba Dar awe na kimtumbwi ambacho atakuwa anakitumia kipindi cha masika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…