KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,153
ccm wawaache watoto wetu wasome si kuwapeleka kwenye mikutano ya siasa
Hawa jamaa ni wauaji
Mafuriko ya kubumba daah mwaka huu tutashuhudia mengi. Poleni wafiwaHii ni ishara tosha kwamba CCM haitakiwi imelaaniwa rais yuko hapo hapo uwanjani watu wanakufa kwa sababu ya mafuriko ya kubumba.CCM MUST GO.
Hao waliokua wanazuia inabidi wachunguzwe kwanini walizuia. Hii ni huzuni kubwa sanaKatika taarifa ya habari ya ITV SAA 2:00. Kuna msichana anasimulia ansimulia tukio zima kwa kusema kwamba. Wao walitaka kutoka lakini walizuiwa na watu wa getini.
Chadema ilisha uzwa. Kwisha Habari yao chadema
Hawa mpango wao ulikuwa wafanye ndagu na pia kuwaaminisha Watanzania na watu wa kimataifa kwamba wanaopendwa, haya ni maandalizi ya goli la mkono.Oops, well said. Akina Simiyu kwetu njooni humu mkanushe....
ccm wawaache watoto wetu wasome si kuwapeleka kwenye mikutano ya siasa
Na by any means, thamani ya damu ya watanzania wenzetu hao wawili waliokufa kwenye mkutano wa kampeni za CCM Morogoro ina thamani mara trillions kuliko Magufuli kuwa Rais wa nchi hii!!
Kwa nchi zinazojali utu na thamani ya uhai wa mtu, Magufuli angesha step out of the context kwa sbb kwa vyovyote, hii ni ishara ya nuksi kwake na kuwa tutakuwa na Rais wa hovyo tu huko mbeleni kama huyu jamaa atachaguliwa, Mungu apishie mbali isitokee!!
Hao waliokua wanazuia inabidi wachunguzwe kwanini walizuia. Hii ni huzuni kubwa sana
Duh...
Kuna watu waliofariki mkutanoni?