Mafuriko ya kutengeneza yana madhara makubwa

Mafuriko ya kutengeneza yana madhara makubwa

artificial flood ina nuksi, bila shaka hayana baraka. umesema na kushauri vizuri.
 
H20

Asante kwa ushauri huo. Kwa nyongeza kila mwananchi, kwa wakati na nafsi yake, awe makini katika maamuzi. Hayo ndiyo mabadiliko bora ya kifikra na matendo. Haileti mantiki mama mwenye mtoto kwenda kwenye mikusanyiko ya aina yoyote ikizingatiwa kuwa wengi ni vijana tu wanaosukumwa na mkumbo au ndo sehemu ya kujipatia chochote. Kwa kushiriki unaumizwa na kurudi nyumbani na majereha wakati mhusika huyo kesha kwenda zake salama.
 
Last edited by a moderator:
Kama hayo maafa yangetokea kwa ukawa basi serikali ingepata sababu, lakini yametokea kwao wenyewe wapo kimya
 
Hili suali la kufungua milango yote haliwezekani kwani litapelekea watu wengi kutoka uwanjani mara tu baada ya wasanii kumaliza kutumbuiza.Sasa wanawafanya watu kama kuku wanamwaga mtama wakijaa tu wanawakomea.
Hawa jamaa ni wauaji
 
Na by any means, thamani ya damu ya watanzania wenzetu hao wawili waliokufa kwenye mkutano wa kampeni za CCM Morogoro ina thamani mara trillions kuliko Magufuli kuwa Rais wa nchi hii!!

Kwa nchi zinazojali utu na thamani ya uhai wa mtu, Magufuli angesha step out of the context kwa sbb kwa vyovyote, hii ni ishara ya nuksi kwake na kuwa tutakuwa na Rais wa hovyo tu huko mbeleni kama huyu jamaa atachaguliwa, Mungu apishie mbali isitokee!!
 
hili ni funzo kwa ccm waache kukusanya watu mbona wenzao ukawa hawafanyi hivyo,poleni wafiwa
 
Washtakiwe kwa uzembe uliosababisha majeruhi na kuua

NSHOMA;
Kama ingelikuwa ni UKAWA, ndo leo mngelijua nnani bingwa wa kusema na kutoa order. Tangu mkuu wa kaya ,mpaka mkuu wa wilaya. Kila mmoja angelikifungia hicho chama. Nadhani uchaguzi ungeahirishwa na kuharamishwa.
Lakini kwa sababu ni Kyama TWAWALA, hiyo kesho haitasikika. Kwani leo si weshaingia Handeni?? Ni ajali kazini tuu salaam za rambirambi zitatumwa na chama baadaye. Hakuna wa kuwajibika hapo. Fullstop
 
Washitakiwe wenye mkutano kwa kufanyia eneo ambalo liko fenced bila kuja usalama wa watu .Kampeni zao zimeingia nukusi
 
Na by any means, thamani ya damu ya watanzania wenzetu hao wawili waliokufa kwenye mkutano wa kampeni za CCM Morogoro ina thamani mara trillions kuliko Magufuli kuwa Rais wa nchi hii!!

Kwa nchi zinazojali utu na thamani ya uhai wa mtu, Magufuli angesha step out of the context kwa sbb kwa vyovyote, hii ni ishara ya nuksi kwake na kuwa tutakuwa na Rais wa hovyo tu huko mbeleni kama huyu jamaa atachaguliwa, Mungu apishie mbali isitokee!!
 
Kwenye yale Mafuriko steve nyerer aliwambia wananchi tunawaletea Jembe....na hilo jembe ni nani...audience ikajibu Lowassa. Aiseee it was teribble
 
Kwenye yale Mafuriko steve nyerer aliwambia wananchi tunawaletea Jembe....na hilo jembe ni nani...audience ikajibu Lowassa. Aiseee it was teribble

Na akome steve mana waliandaa ki clip cha kumzihaki lowasa. Sasa Jana waliumbuliwa na nyomi la watu. It was more terrible
 
watu wengi walienda kushangaa wasanii maana wabongo wanapenda sana vitu vya bure kwani vya bure vinaua poleni sana wafiwa
 
Na akome steve mana waliandaa ki clip cha kumzihaki lowasa. Sasa Jana waliumbuliwa na nyomi la watu. It was more terrible

Hiyo clip wali i perform?? Watajitahidi sana lakini watashindwa
 
Majilani, Mama na baba Wa huyo marehemu sasa wameshapata sababu ya kuitosa ccm Oct 25

RIP mtoto mwema
 
Hiyo clip wali i perform?? Watajitahidi sana lakini watashindwa
Hyo clip iko Instagram na wasap imeenea. Wali act anatetemeka yeye na steve wanafikiri watabadilisha watu minds zao.
 
Duh...

Kuna watu waliofariki mkutanoni?
 
Back
Top Bottom