That right there is a statement of fact. So I ask, where is the proof?
Proof my friend, is the domain of fools. You already know what a theory is, why, you gave the definition here
I am asserting the currently available and commonly accepted body of science. Which by the way, is not infallible because as I have pointed out before, science is not about holding the holy grail of truth, rather, converging towards an empirically verifiable conclusion.
You have a shot at a Nobel if you could disprove the THEORY.
There is no proof, it is only a theory.
Just as there is no proof that 1 = 1 = 2, it is just a shorthand based on "number theory".
They are all theories, no proof.
In fact you can't even prove that you exist, it's just a theory based on sensory input.
What can you prove?
Okay, fair enough.
But I take issue with the timescale.
How does one arrive at that billion number for the transformation to take place?
What is the foundation?
Or is it just an estimate?
Soma zaidi kuhusu antibiotic resistance hapa kwa kuanzia
Antibiotic resistance - Wikipedia, the free encyclopedia
jamani pamoja na ubishi wote jana mamlaka ya hali ya hewa imetangaza kuwa kuna uwezekano wa kunyesha mvua kubwa za elnino. mtoa mada aweza kuwa sahihi kuwa kutatokea mafuriko mwezi huu.
Wakuu, I hope wote mko poa kabisa. Nataka kuwashirikisha jambo. Kuna hali ya mafuriko makubwa yanayokuja kutokea Tanzania mwezi ujao. Kuna watu ambao Mungu amesema nasi ili tuombe toba kwa ajili ya nchi ili hali hii isitokee na hasa kama itatokea basi isilete madhara ambayo yanaweza kutokea kama hatutaomba Mungu atunusuru na maafa.
Nchi yetu 'imemezwa na chatu'. Hii maana yake ni kwamba nchi hii imetumbukia katika uchawi na kumwabudu shetani as nyoka ni shetani as well as uchawi/ushirikina. Watu waliopewa dhamana kwenye taifa hili iwe serikalini au katika kanisa wamesahau wajibu wao na badala yake wanamkumbatia shetani na kazi zake zote i.e uuaji na umwagaji wa damu zisizo na hatia, uchawi, wizi, uongo na pia ukahaba umekithiri, uaminifu umepungua sana, ufisadi, upagani, ibada za mizimu, kuabudu shetani na mambo mengine yote yafananayo na hayo na kumchukiza Mungu na amekasirika. Mambo yote haya tunayaona day in day out. Na watu wanafurahia watu waovu na uovu kuliko uadilifu na watu wanaotetea haki.
Mungu anaipenda sana Tanzania lakini anachukia uovu huu ndio maana ameonyesha nini kinakuja ili tuombe toba atusamehe na atunusuru na hali hiyo na kama bado itatokea basi isilete madhara makubwa au yasitokee kabisa.
Picha ya mafuriko yanayokuja yanaonyesha mvua kubwa sana ya kutisha na nusu ya Dar ikiwa imemezwa na maji ambayo yamechanganyika na maji ya bahari. Hii inaashiria gharika au kimbunga chenye mvua kubwa.
Kwa yeyote mwenye mzigo wa kuliombea Taifa hili tafadhali omba toba kwa ajili ya nchi yetu na ufunge kwa siku tatu kawaida na sio tatu kavu (utachagua mwenyewe siku za kufunga) ili Mungu atuepushie na balaa hili. Tafadhali mshirikishe na mwenzio.
Nimewashirikisha ili isije kula kwetu tuliopewa huu ujumbe kama tutakaa kimya bila kushirikisha wengine pia waombe.
Usichangie kwa kukashifu na kama huna mchango au huamini basi wewe pita tu na Mungu atakubariki.
Mathayo 18:18, 2 Nyakati 7:14, Isaya 62:6, 45:11
Soma pia Mwanzo 18:23..........
What if mtoa mada anafanya kazi mamlaka ya hali ya hewa,....by the way hawajasema ni mafuriko...lets wait and see maake september ndio hii.