Huyu anasema nini? Hebu tumsikilize, labda ana gotcha.
Nimeandika pia kuhusu scale, kwamba, kwa kuwa bacteria wanajigawanya kwa kasi sana ukiwalinganisha na binadamu (binadamu kuzaa mathalani ni mpaka miaka takriban 16, kwa hiyo mpaka mtu apate mjukuu itachukua si chini ya miaka 32 aghalabu) bacteria wanajigawa kila dakika 20. Na kwa sababu bacteria ni wadogo na wanajigawa sana, na kwa sababu evolution agent wake mmoja mkubwa ni mutation iliyo katika reproduction, basi utaweza kuona evolution ikiwa kazini kwa urahisi na haraka sana ukiangalia bacteria kuliko ukiangalia binadamu.
Soma zaidi kuhusu bacterial reproduction hapa Bacterial Reproduction
Habari yangu ya juu imefunga kipande hiki cha mjadala, labda kama unataka kuendekeza ubishi tu.
Ungeelewa somo la scale hata usingejiaibisha hivi.
swali lako ni la kipuuzi na haliendani na hoja uliyoulizwa hapo juu. wewe ndiye unaye define hayo unayosema ni mabaya kwa kuwa huko ndani ya mpango wa Mungu,yeye ndiye Muumba na ndiye mpangaji wa standard,yapi ni mabaya, yapi ni matatizo yeye ndiye anayejua na kwa tuliowake majibu yapo ndani ya kitabu chake hatuna shida nayo.MAJIBU YAKE YAPO WAZI KABISA KWENYE MAANDIKO, wewe una vigezo vyako vya utambuzi wa mabaya lakini si lazima viwe ndiyo vigezo vya Mungu, Maisha na Kifo ni shida kwetu sisi wanadam lakini si kwa Mungu,amka kiranga.
Toa majibu ya kisayansi na maswali yake, toa pia maswali ya kiimani yaliyokosa majibu.Tatizo unataka upewe majibu ya kidini kisayansi hapo ndipo madhara ya kukariri yanapojionesha.
Swali la kidini linajibiwa kidini,kama ilivyo swali la kisayansi linajibiwa kisayansi. kinyume chake ni ujinga tu.
Tatizo kwa kuwa unataka kudanganya unajifanya hujui kwamba binadmu sio liseri moja kubwa...binadam anaumbwa kwa mabillion ya seri hivyo, basi evolution ingekuwa inaonekana hata kwenye seri zinazoumba sehemu ndogo ya kidole.
bacteria walio katika mwili wa binadamu wanaweza kufanya evolution hii kwa raid reproduction rates kwa sababu wao wana double population yao takriban kila 20 minutes, kwa hiyo wao wanaweza kufanya rapid evolution, ndio maana leo ukitumia Chloroquin kutaka kuua bacteria wa Malaria haifanyi kazi.
Kwa sababu bacteria wa Malaria wame evolve. Hao hao wanaokaa kwenye mwili wa binadamu.
Kwa hiyo si kweli kwamba bacteria walio katika mwili wa binadamu hawa evolve.
Lakini binadamu mwenyewe ana evolve very slowly.
Kwa sababu reproduction rate yake inachukua angalau takriban miaka 16. The difference when compounded into the doubling effect coupled with random mutation is huge.
But I doubt you have the mental capacity to appreciate that.
Una maanisha binadam ana evolve as a single big cell. Good scientists. mbona nikijikata sehem ya mwili mwili unajiponya haraka hauchukui hiyo miaka 16 mkuu...
Yaani bacteria ambao hata hawaonekani kwa naked eye(s) ndiyo mfano mzuri wa nadharia ya evolution? Wow!!!
Utajifunza lini ku quote? Karibu nakuchoka!
Nisha dismiss evolution for the sake of argument.
Hata nikisema sijui mpira umetoka wapi, hili halimaanishi ni lazima uwe umefumwa na bibi.
Kutojua maisha yameanzaje, hata kama evolution si kweli, hakuna maana kwamba mungu kaumba maisha.
Hutakiwi kuchoka kwani mantiki ya ninachokiandika bado inakuwa inaeleweka. ningekuwa naandika kitu ambacho hakisomeki hapo kungekuwa na problem.what matters ni content
finally let us agree to disagree.
I suggest you stop embarrassing yourself and take some basic courses in biology.
The process of your body healing has very little to do with evolution. You are confusing two different things.
Ukishajua kwamba dini na sayansi ni tofauti, utajua kwamba knowledge na faith ni tofauti.
Sina tatizo na wanaosema wana faith kwamba mungu yupo, imani tu, wanaruhusiwa kuamini chochote.The Bermuda triangle, astrology, wachawi kupaa kwa ungo, the Loch Ness monster, Santa Claus etc.
Lakini ukisema unajua, knowledge is the realm of science and must be proved by empirical evidence.
Ukishasema unajua kwamba mungu yupo, tutakuomba ushahidi unaokubalika kisayansi kwa mujibu wa werevu uliopo so far.
Ama sivyo utakuwa huna haki ya kukataa kwamba chupa si almasi.
Yaani bacteria ambao hata hawaonekani kwa naked eye(s) ndiyo mfano mzuri wa nadharia ya evolution? Wow!!!
Hutakiwi kuchoka kwani mantiki ya ninachokiandika bado inakuwa inaeleweka. ningekuwa naandika kitu ambacho hakisomeki hapo kungekuwa na problem.what matters ni content
finally let us agree to disagree.
Hujamwelewa NN,ana maanisha bakteria baada ya kuingiliwa na antibiotics wame evolve na kuwa SUNGURA ndani ya damu then antibiotics haziwaoni.
Tatizo unachukua definition ya knowledge kwenye sayansi unaitumia kujumuisha mambo ambayo si ya kisayansi,hapa hakuna swala la faith au lah,kuna swala la uelewa kwa kadri ya imani ya mtu kidini na si kisayansi,sasa wewe unahangaika kutaka empirical evidence kwenye mambo ya dini wakati hata kwenye sayansi yako yako mambo mengi mno ambayo wanasayansi wanajifanya wanayajua lakini hawana empircal evidence... moja ni hili la HIV kueneza AIDS japo wanasayansi wanaamini na karibu dunia nzima imepokea imani hiyo lakini hakuna empirical evidence.
Ooh safi sana. Maana kama kweli wana evolve...wanageuka kuwa nini sasa? Viruses?
The arrow of evolution cannot be substantially predicted as it is inherently predicated by random mutations.
Observations are showing a trend for life to evolve from the simple to the complex.
Viruses (20 - 400nm) are simpler life forms compared to bacteria (1000nm), so a bacteria cannot evolve into a virus.
Bacteria will evolve into more developed forms of bacteria. Eg, Malaria causing bacteria in the last 20 years evolved from ones that could easily be killed by Chloroquine to ones that require more powerful Malaria drugs.
Evolution ndiyo maana si rahisi kwenda hospitali leo na kupewa Chloroquine kwa kuponya Malaria au Tetracycline kwa magonjwa yenu yale vijana.
Onyesha kwamba kaumba maisha basi.
What if it is just the drugs that were thought of being effective weren't that effective to begin with?
And now with the advances in medical science there are better and more effective drugs than there used to be...
Soma zaidi kuhusu antibiotic resistance hapa kwa kuanzia
Antibiotic resistance - Wikipedia, the free encyclopedia