Mafuriko Marekani jimbo la Califonia

Mafuriko Marekani jimbo la Califonia

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
733
Reaction score
570
Mafuliko makubwa uko California marekan Kama Yale ya jangwan bongo... Kwa nji kamaaa ilo endelea mambo Kama mafuliko nayo yanatokea ila ilovotokea bongo watu walilaumu serikali na miundimbinu ila mm naona sometimes sio kulaumu tu serikali mana vitu kama hiv ni va gafla na muda mwingine ni vigumu kuzuia
 
Hahaaaa. hapa watawala ndio walaumiwe....... serikali inajenga mabondeni
 
Mafuriko ni janga na maafa yatokanayo na mambo ya asili. Hata hivyo kikubwa ni kuwa na maandalizi ya kukabiliana nayo pale yatokeapo ili athari zake zisiwe kubwa (minimize risk). Sasa kila nchi ni kwa kadri ya uwezo wake. Lakini tabia za wananchi pia wakati mwingine huongeza risk. Mathalan kujenga mabondeni. Kwa hiyo kwa nchi kama Marekani naamini risk ya vifo inapungua kwa kuwa nyumba zimejengwa vizuri. Tujifunze kujenga sehemu salama ili kuepuka majanga yasiyo ya lazima.
 
Mafuliko makubwa uko California marekan Kama Yale ya jangwan bongo... Kwa nji kamaaa ilo endelea mambo Kama mafuliko nayo yanatokea ila ilovotokea bongo watu walilaumu serikali na miundimbinu ila mm naona sometimes sio kulaumu tu serikali mana vitu kama hiv ni va gafla na muda mwingine ni vigumu kuzuia

Hii lugha mbona umechapia sana
 
siku nyingine tulia......habari kuleta utaleta tu....tena wa kwanza........hakuna atakayekupita............sawa eeeeh......
 
Back
Top Bottom