Mafuriko kuelekea Zanzibar kesho J3

Ha ha ha raha sana saa ya ukomboz ni sasa Mungu ibariki ukawa Mungu ibariki Tanzania!!!!!!!
 
baada ya kusikia mafuriko kila kona nami nimeamua kabisa nichukue boti nije hapa visiwani nishuhudie kila kitu.
Hali katika mitaa mingi hapa watu wana furaha ya hali ya juu,katika uwanja wa tukio kuna watu wengi ambao wanasema watakesha hapahapa,ambapo hata mimi nitalala hapahapa,nina simu mbili na laptop zenye chaji 100% kwa ajili ya updates,kuanzia kesho asubuhi nitawawekea picha za kinachijiri,so usicheze mbali
 

Ni wakati wa mabadiliko... Tunakuombea
 
Ulete habari kwa wakati na mapicha motomoto..usiwe kama yule wa mwanza leo
 
Tuwekee japo tupicha tudogo plz! Jana nilidhani haitatokea km Arusha, lakini leo mwanza ilikuwa ni shidaaaaa! Na kama ndo moto wa mabua ulivyo basi utateketeza vingi
 
Hata sasa tupe kinacho endelea mkuu. Kuna ngoma flani zinatoa watu usingizi au mmeamua tu kujilalia uanjani? Mkuu wa huko hajaamua kuwatuma vijana wake kuja kuwafurumusha hapo au mmelipia guest
 
Nasikia watu wako UWANJANI SAA HIZI.... Zanzibaaaaar....huko ni itakuwa FIREEEEEEEEEEE....!!!"
 


We msaga sumu kweli.... Uko pande zipi tupeane angalau salamu ndugu yangu.
 

usijefanya kama kanjanja mmoja wa mwanza jana kaanzisha uzi halafu akakimbia jumla, kila la kheri.
 

Unaanza mbwembwe hata ya leo tu hujatuma hiyo kesho si ndo utapotea we?
 
Comrade.
Ni wakati wa mabadiliko... Tunakuombea
Nafuatilia wengi wanaopost na ku_comment kwenye post za EL na JM naona ni recruiter wa jf yaani ni wachache wenye 200post counts.

So napata picha kama wamejiunga kwa sababu fulani hivi mh!!
 

Umetisha aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…