Mafuriko Dar wa Salaam City Centre 29.04.2021

Joburg yenyewe imegeuka mavi matupu. Miafrika tuna shida sana, that City inafananishwa na Los Angeles lakini ndio waafrika wameigeuza mavi matupu. Ile Johannesburg Park Station mpaka kule maeneo ya wadangaji Hillbrow kumegeuka shida tupu. Magorofa yote wamejaa wahuni watupu pachafu overcrowded.
Pachafu, takataka, wamebandika mabango kila nguzo, peusi utadhani kuna wauza mkaa. Jozi kuishi lazima uchague mtaa.
 
kosa hili hili lililofanyika Dar es salaam linafanyika kwenye majiji mengine yanayokua kama Dodoma, Mwanza, Arusha, Tanga, Mbeya nk.....sijui watu wetu wanavyokuwa busy maofisini na kupita kwenye mabarabara kwa kasi huwa wanawahi wapi? huku vitu vidogo vya msingi kama hivi vinawashinda...
Wanachotaka ni kuongezewa mishahara tu tija hakuna.
 
Back
Top Bottom