Mafuriko Dar wa Salaam City Centre 29.04.2021

mkoloni mpaka anaondoka aliache miundo mbinu mizuri kabisa, mji ulikuwa na sewage system nzuri kabisa, maji yalikuwa yanaenda baharini vizuri kabisa....kilichotakiwa kutoka kwetu ni good maintenance and repair + improving systems vs population increase...

tulipoanza kuujenga mji wenyewe tumepuyanga kila mahala, tumeshindwa kujenga kwa kuangalia kesho yetu kitalaam kwa maana ya mifumo ya kupeleka maji baharini, controlling ya ukuaji wa miji, namna bora ya uvunaji maji ya mvua kwa ajili ya matumizi, nk... hali inatuvua nguo kabisa na kuonyesha namna vichwa vyetu vilivyo...
Ulikuwepo?

Mkoloni kaondoka 1961 akiiacha Dar ikiitwa mzizima, watu hawafiki hata elfu 50.

Maeneo mengi ni mapori tu yalikuwa.

Haya maandishi yako ni uchochezi tu
 
Mbaya zaidi hapo ndio city centre sasa huku maporomokoni kukoje? Mungu atunusuru na nasema atunusuru ila siku ikitokea kimbunga cha level 2 tu basi Dar itarudishwa nyuma miaka 25 au zaidi maana bati zote zitaenda na nyumba nyingi na barabara ndio kabisa na vile viwango vibovu tutaona maajabu. Ila naomba Mungu atuepushe na kitu kinaitwa Hurricane.
 
Nguvu ya pesa,Rushwa ndo vimeifikisha dar hapo ilipo. Watu wabishi wanajenga tu watakavyo. Sijui mjengoni kwa mzee machache patakua pamefurikaje kama hapo hako hivyo
 
Back
Top Bottom