Mafuriko barabara ya Arusha-Karatu katika picha-Tahadhari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafuriko barabara ya Arusha-Karatu katika picha-Tahadhari

Discussion in 'Jamii Photos' started by Daffi, Dec 1, 2011.

 1. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160

  [​IMG]

  [​IMG]


  [​IMG]
  Mwili wa marehemu Samweli Julius ambaye alikuwa ni msaidizi wa mitambo ya kutengeza barabara, ukiwa umenasa juu ya mti.
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 3. d

  dorry Senior Member

  #3
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  mmmmmhhhhhh
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  hiyo Lakrome ilipatwa na masahibu gani....?kuna watu walioumia humo....?
   
 5. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #5
  Dec 1, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Lakrome nusura nayo isombwe,hakuna aliyeumua,wote wamenusurika!!walikuwa zaidi ya 60 abiria
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  ilikuwaje....mafuriko yalitokea ghafla au dereva alijidai kuwa Lakrome ni meli.....?

   
 7. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #7
  Dec 1, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Hahahaha!sikujua alidhani meli!but hope hakujua kuwa maji yalikuwa mengi
   
 8. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #8
  Dec 1, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,967
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  ​Pombe ameshaenda huko kuangalia uharibifu?
   
 9. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #9
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hiyo niyo miundo mbinu walotuwekea magamba yakuatarisha maisha yetu waTz
   
 10. driller

  driller JF-Expert Member

  #10
  Dec 2, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  jamaa yuko fasta sana itakua yuko huko..! unajua kwenye magamba yule jamaa na mwingine hivi ndio pekee waadilifu..!? wengine hamne kitu..!
   
 11. driller

  driller JF-Expert Member

  #11
  Dec 2, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135

  huo sio uongo..! yani jamaa wananiboa kweli yani..! kwenye mambo ya mwenge wanashadadia kinyama kisa kuna allowance lakini kwenye kudesign mambo ya muhimu jamaa wako reluctant kweli yani..! ona sasa mtu wa watu amepoteza maisha na miundo mbinu imeharibika lakini tuko huku tunakula hela za mwenge ambao umeshapunguza mwanga wake...! hadi unatembea na mafisadi na hauwamuliki tena..! nchi hii inaboa saaaanaaaaaa..!
   
 12. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #12
  Dec 2, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Sasa nitaendaje kwetu?
   
 13. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #13
  Dec 2, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Kuna boti za kukodi hapa ninazo,usijali garma we tia timu utavushwa
   
 14. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #14
  Dec 2, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  shing maga khae?
   
 15. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #15
  Dec 2, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Kume koan kilos
   
 16. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #16
  Dec 2, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Dah! Anabaaloka.
   
 17. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #17
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Hata mi najiuliza hilo swali..

  dahhh lakini mafuriko yaliyotokea pale magugu mwaka 1998 yalinitishisha kwa kweli..
   
 18. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #18
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  yatisha kwakweli
   
 19. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #19
  Dec 2, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Hakika inasikitisha!hasa huyo jamaa aliyeganda kwenye mti tukiachana na barabara maana wataifanyia maintanance,je uhai wa mtu/watu??
   
 20. Purity Emmanuel

  Purity Emmanuel Member

  #20
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dah ni hatari mi nimeona tu kwenye tv nikajua labda janga sio kubwa sana kumbe ni hatari hivi kama huyo jamaa hapo dah inaumiza aisee,ina maana hiyo barabara imejengwa chini ya kiwango ndo maana imekua rahisi kusombwa na maji?
   
Loading...