Mafuriko barabara ya Arusha-Karatu katika picha-Tahadhari

kunaa kabilaa flaniii...arushaa,kuanziaa mto ndurumaa hadi kikatiti...ole wako upate ajalii sehemu hizo,nimemuonaa huyo jamaa alie chukuliwaa na mafuriko ana butiii kalii then lipo mguuni bado,ingekutaa nikwa hao majamaaa sanyingii haipo.
 
aiseeeeee niliiipita hii njia may, mwaka huu..................sikuridhika kabisa lami ilikuwa kama inabungua.....yaani kuna vumbi flani linasagika kutoka kwenye lami
 
Mtumaji picha naomba uwe na ubinadamu. Sijapendezewa kutuonyesha picha ya mtu aliyekufa. Tuwaheshimu marehemu. Tafadhali.
 
Mtumaji picha naomba uwe na ubinadamu. Sijapendezewa kutuonyesha picha ya mtu aliyekufa. Tuwaheshimu marehemu. Tafadhali.

Nia nikuonyesha hali halisi ya mafuriko na siyo kuonyesha picha ya mtu aliyekufa!hiyo picha ni tukio moja wapo,thus imenibidi niiweke!let him rest in peace.
 
Hivi hii tabia ya kubandika picha za miili ya watu bila kutoa tahadhari yoyote ni kwanini ipo sana bongo? Naionaga inatokea mara nyingi sana, hata kwenye ITV nakumbuka kuna siku kwenye habari wakaanza kuonyesha mwizi anauliwa bila hata kutoa tahadhari.

Swali jingine ni kwanini hawajamshusha huyo kijana?
 
  • Thanks
Reactions: Ami
Siku ya kiama si mawe tu yatakayoporomoka bali milima na miti itapeperushwa kama sufi.
Angalieni sana!.
 
Mtumaji picha naomba uwe na ubinadamu. Sijapendezewa kutuonyesha picha ya mtu aliyekufa. Tuwaheshimu marehemu. Tafadhali.

Katika hali ya kawaida hata ndugu na jamaa wa Marehemu unawakwaza sana na kuwapa uchungu mara mbili maana wengine wanaweza kuwa member humu ndani.Tafadhali MODS fanyeni ustaarabu.R.I.P
 
Hivi hii tabia ya kubandika picha za miili ya watu bila kutoa tahadhari yoyote ni kwanini ipo sana bongo? Naionaga inatokea mara nyingi sana, hata kwenye ITV nakumbuka kuna siku kwenye habari wakaanza kuonyesha mwizi anauliwa bila hata kutoa tahadhari.

Swali jingine ni kwanini hawajamshusha huyo kijana?
Sijui unazungumzia hivi kwa misingi gani.Hata hivyo kibinadamu tu huwa si jambo zuri.Ndugu wa karibu wa huyu maiti hupata uchungu zaidi unaoweza kuleta kifo cha kihoro.Baba,mama,ndugu,mke na wengine wakilinganisha katika fikra vile alivyokaa bila kujisaidia kwa lolote na jinsi alivyoshindwa kujiokoa wakilinganisha na ukakamavu na ucheshi wake akiwa pamoja nao wakiona vile wanaumia sana na kilio na kushuka kwa presha haviepukiki kunakoweza kuleta kifo chengine.
Hivyo ni sawa kabisa si vyema kuonesha maiti ya binadamu mwenzako kama mbuzi aliyekufa.
 
kunaa kabilaa flaniii...arushaa,kuanziaa mto ndurumaa hadi kikatiti...ole wako upate ajalii sehemu hizo,nimemuonaa huyo jamaa alie chukuliwaa na mafuriko ana butiii kalii then lipo mguuni bado,ingekutaa nikwa hao majamaaa sanyingii haipo.

Mwaka jana nilikuwa napata kinywaji Arusha hadi mida ya saa moja, Nikawaeleza jamaa niliokuwa nimekaa nao mezani kwamba nitaelekea Moshi baadae. Kweli nilipata taarifa kama hio, Walisema kwasababu una VX haina shida, ila uombe mungu usipate ajali hapo njiani maana utaibiwa mpaka taili za gari yako.

Arusha imebadirika sana sasa..!!
 
Hivi hii tabia ya kubandika picha za miili ya watu bila kutoa tahadhari yoyote ni kwanini ipo sana bongo? Naionaga inatokea mara nyingi sana, hata kwenye ITV nakumbuka kuna siku kwenye habari wakaanza kuonyesha mwizi anauliwa bila hata kutoa tahadhari.

Swali jingine ni kwanini hawajamshusha huyo kijana?

Mbona hukutoa comments wakati wanaonyesha picha za Gaddafi ? Na jibu la swali lingine ni huenda tayari palikuwa na watu wanao kwenda kuushusha mwili wa marehemu wakati mpiga picha akiwa kasimama mbali na kitendo cha kupiga picha kinafanyika kwa haraka. Maswali mengine mtu ukiwa na hangover yanachafua zaidi.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom