Mafunzo ya ujasiriamali

Mafunzo ya ujasiriamali

Naomba mnijuze yanakotolewa mafunzo ya ujasiriamali

Wewe nenda kule ulipotangaza nafasi za kazi ABS tunaitaji maelezo ya hizo nafasi za kazi

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ujasiriamali haufundishiwi wakuu.. Unless mnataka Kula pesa yake Tu. ujasiriamali Ni spirit mtu anazaliwa nayo. Mafunzo lablda yawe kuelekeza namna ya kutunza records, namna ya kusimamia mradi basi. Lakini hakuna mafunzo ya ujasiriamali.
 
Back
Top Bottom