Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,939
- Thread starter
-
- #21
Nimekuelewa sana ndugu yanguWatu wanaweza kudisi hii kazi kumbe Wenda ni mtego uliowekwa Ili kupata watu wa "system" , wadau nawasihi.mchangamkie fursa.
Nyingine zina kichwa cha habari chenye ukakasi ila ukiiingia tu "wazee wa msatari " wankuchojoa na kupata kazi mujarabu.
Ni mtizamo tu wa mlango wa 6 wa fahamu "6th sense organ", na sio sheria
Akija itapendeza zaidMshana Jr karibu huku utoe uzoefu wako kdg
Ingekuwa hivyo hata vifo visingeogopwaNi heshima kufanya kazi na wale walio onana tayari na Mungu.
Ukifa unajikuta una washkaji kibao mbinguni uliowahandle Duniani wakati wa departure yao yaani unakuta wamekuandalia na makazi kabisa. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bugando nakuja!
Kwani wewe unaogopa kifo? Hivi unaogopaje kitu ambacho ni lazma ukipitie?Ingekuwa hivyo hata vifo visingeogopwa
Nenda training Bugando ukija Dar unachagu mwajiriMaisha ni magumu, mkipata ya hospitali za Dar mniambie
Nauli na malazi ndiyo tatizo, haikutakiwa kunipita hii fursa.Nenda training Bugando ukija Dar unachagu mwajiri
For sure kila mtu anaogopaKwani wewe unaogopa kifo? Hivi unaogopaje kitu ambacho ni lazma ukipitie?
Kama vile ulivyokuwa haugopi kuzaliwa usiogope kufa mkuu.For sure kila mtu anaogopa
Nimekuelewa sana ndugu yangu[]
ata mimi nimetamani hii fursa isinipe sema tu umbali na mengine mengi
Ata mimi mkuu sema basi tuNauli na malazi ndiyo tatizo, haikutakiwa kunipita hii fursa.
Baba wa mapaka= Abuu hurairaSina uhakika kama Mola ameniridhia mimi kuwa miongoni mwa watu wa peponi
Na salaf na waislam waumini wote
.
Sina uhakika kama Allah amenisamehe kwa adhabu za kaburini ambazo asilimia 100 uwepo wake hauna shaka
Namuomba Allah awakinge na adhabu za kaburi na adhabu za moto wa Jahannamu wale wote waliotamka shahada na wale ambao watajiunga na dini tukufu ya uislam
Amiin
Karibu utanikataSijawahi lakini si wamesema wanatoa mafunzo? Ndio nataka kwenda kujifunza kwa Mara ya kwanza kutoka kwao.
I'm gonna have some funny.
Ntakukataje tena mkuu?[emoji23] [emoji23]Karibu utanikata
Kazi ndo hizi bwanaNawasilisha View attachment 799284
Ndio umeandika nnMafunzo huwa hayamalizaga