wanatamani
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 415
- 145
nahitaji vijana 5 waliotayari kwa ajili ya kupata mafunzo ya kuflash simu (sofware) mafunzo nitayaendesha zilipo ofisi zangu kigamboni. kwa muda wa wiki2 mfululizo watakao kuwa tayari naomba tuwasiliane . mafunzo yataanza muda wa asubuhi saa3 mpaka mchana wa saa7. nauli na chakula ni juu yako itapendeza ikiwa utakuwa na laptop
mawasiliano
info@simuyangu.co.tz
simu +255715387545
website: www.simuyangu.co.tz
NARUDIA NAHITAJI VIJANA WA 5 TU AWAMU YA KWANZA ,NITACHAGUA KATI YA WATAKAOHITAJI
MAFUNZO HAYA NI BURE , KATAA KUWA KAA
mawasiliano
info@simuyangu.co.tz
simu +255715387545
website: www.simuyangu.co.tz
NARUDIA NAHITAJI VIJANA WA 5 TU AWAMU YA KWANZA ,NITACHAGUA KATI YA WATAKAOHITAJI
MAFUNZO HAYA NI BURE , KATAA KUWA KAA