Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Ila leo kwenye matangazo tulia aliwatangazia wabunge wanaotakaa kujiandikisha kwenye mafunzo ya jkt wajiandikishe majina na alitoa namba kwa wabunge kwa maelezo zaid sasa cjajua ni mafunzo hayo amabayo tunatarajia kuitwa au ni yapi
Ndiyo hayo hayo mkuu kama walivofanya 2013 ila wao hufanya kwa wiki mbili tu.
 
Ila leo kwenye matangazo tulia aliwatangazia wabunge wanaotakaa kujiandikisha kwenye mafunzo ya jkt wajiandikishe majina na alitoa namba kwa wabunge kwa maelezo zaid sasa cjajua ni mafunzo hayo amabayo tunatarajia kuitwa au ni yapi
Labda tusubir wiki ijayo.. Mana waheshimiwa wakijiandikisha.. Tutaambiwa hadi bunge litakapoisha
 
watapigia vikosini watakamopangiwa
Kuajiriwa Wanaweza Kuajiriwa sema koz yao ya level three ndo itakua 'kasheshe mbuzi'. Japo wameshapewa Mt namba wanaxubiria maelekezo kama waajiriwe au wafanye koz, sema humu jf siasa nyiingi kana kwamba wao ndo wahusika, angalien maneno yenu. Af watu wahumu msiwaamini sana mana jesh si chombo cha maneno sana ni chombo cha vitendo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji16]
 
Back
Top Bottom