Mafunzo kwa vitendo walimu

Mafunzo kwa vitendo walimu

Vivax

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Posts
522
Reaction score
186
Wanachuo walimu watarajiwa(sekondari),sasa walazimishwa mazoezi ya kufundisha wakafanyie shule za msingi.
Hivi taarifa zao zitakuwaje wakati wa kuomba kazi baadaye?
Hivi MTU akitakujifunza udereva utamlazimisha ajifunzie baiskeli,?
Halafu akaendeshe gari gani?
 
Msingi hasa chekechea (Chuo kikuu) ndio kwenyewe mkuu.Kwa sasa Sera inasema elimu ya msing ni kuanzia Awali-kidato cha 4.Tena nyie mnatakiwa mpangiwe kufundisha darasa la awali mtakapo ajiliwa (fist appointment)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom