Mafundi upande wa sottware tukutane hapa

Lelon Mush

Member
Sep 16, 2019
64
15
Msaada wakuu nimeflash simu imekataa kuwaka na nikijaribu kuiflash tena inasoma kwenye computer kwa sekunde 3 then inapotea
IMG_20200517_000215.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimepata firmware nyingine ila simu inasoma na kuacha so haimaliz kuflash

Sent using Jamii Forums mobile app
Fungua uchomoe betri kisha wakati wa kuconnect bonyeza volume down, itaonekana. Hakikisha betri ina chaji ya kutosha. Baada ya hapo ikishaonekana rudishia betri hivohivo kisha process ziendelee. Kama haujaelewa nikute hapa
0767086446, msaada ni buuuuuure kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom