Mafundi simu wote njooni hapa

Mafundi simu wote njooni hapa

fredj2

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2013
Posts
235
Reaction score
94
Naomba sapoti yenu nami pia nitatoaa sapoti kwa lile ninaloliweza tukutanane hapa mbezitz kwa tool na mafunzo ya kutengeneza simu

Vijana tuwezeshane katika kauli ya viwanda tukikutana wanne kiwanda tayari

Kwa wanaoanzaa hii fani njoo msaada upo

Ahsanteni
 
Both hardware and software
 
Sinakuelewa vizuri mkuu,
Ila mimi pia ni fundi simu ninaechipukia kwenye hii fani, nieleweshe vizuri nielewe,
 
Sijakuelewa vizuri mkuu,
Ila mimi pia ni fundi simu ninaechipukia kwenye hii fani, nieleweshe vizuri nielewe,
 
Wadau kubadili kioo cha note 8 kama imenunua mimi shilingi ngapi(ufundi) na kununua kioo hapa bongo cha GN8 ni sh ngapi?.
 
wakuu heshima yenu naombeni mwenye iphone 6 plain yenye icloud au kioo cheupe genuine anichek kupitia 0682018204
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom