Jeff
JF-Expert Member
- Sep 26, 2009
- 1,293
- 199
Kwa hiyo mkuu nikiweka imei hapo itaniletea file la kudownload ambalo ndio nitatumia kuflash cm?Mi natumia hii link
http://csmg.lgmobile.com:9002/csmg/b2c/client/auth_model_check2.jsp?esn=IMEI. Hapo kwenye neno imei ndo naweka imei number za simu husika, itakuja page yenye code za html, ndani ya code hizo unakuta kuna link inaishia na .kdz hiyo ndo inakuwa link ya file ya simu yako.
Hiyo attachment ni ya program ninayotumia pia.